GHASIA OKTOBA 29 MWAKA 2025 YABAINI MAZITO ! MAGAZETI YA LEO APRIL 24MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo April 24 Mwaka2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                         Mwisho.⁵

Geofrey Steven

RIPOTI YA JAJI CHANDE ADHARANI LEO, MAGAZETI YA LEO APRIL 23 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo April 23Mwaka 2026 kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                        Mwisho.

Geofrey Steven

Meya wa Kibaha ajitosa kuwania uongozi ALAT

Na Bertha Ismail Arusha. Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dk Nicas Mawazo, amejitosa katika kinyang’anyiro cha uongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uchaguzi unaotarajiwa kufanyika kesho, Aprili…

Geofrey Steven

RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA, BABA LISHE NA MAMA LISHE NCHINI ! MAGAZETI YA LEO APRIL 22 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo Apri 22 Mwaka 2026 kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                             Mwisho.

Geofrey Steven

PROGRAMU YA FUNGUO YAIMARISHA UJUZI WA UJASIRIAMALI KWA WANAFUNZI WA ATC

Na Mwandishi wa A24tv. Wanafunzi pamoja na waanzilishi chipukizi katika Kituo cha Ujasiriamali cha Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) wameendelea kunufaika na mafunzo ya vitendo, ushauri elekezi (mentorship), na msaada…

Geofrey Steven

VIJANA WAKOSA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIGEZO NA MASHARTI KUA VIGUMU KUFIKIA ! MAGAZETI YA LEO APRIL 21 MWAKA 2026 NA A24TV.

Jumanne ya leo April 21 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                             Mwisho.

Geofrey Steven

WANAFUNZI WA KIISLAMU SIHA WALALAMIKIA UKOSEFU WA WALIMU NA VITABU VYA DINI.

Na Bahati Siha . Wanafunzi wa Kiislamu mashuleni wanaendelea kukumbana na changamoto mbalimbali, zikiwemo ukosefu wa walimu wa uhakika wa somo la dini pamoja na upungufu wa vitabu muhimu vya…

Geofrey Steven

CHADEMA YAANZA MIKUTANO YAKE KWA KISHINDO KARATU ! MAGAZETI YA LEO APRIL 20 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Jumatatu ya leo April 20 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbelebna nyuma Hii ni A24tv.                                     Mwisho...

Geofrey Steven

HAKUNA SIFURI KORONA SEC! SERIKALI YAINGIA KAZINI KUBORESHA MAZINGIRA

Na Geofrey Stephen Arusha Shule ya Sekondari Korona iliyopo jijini Arusha inaendelea kuweka historia ya mafanikio ya kitaaluma huku serikali ikiahidi kuchukua hatua madhubuti kushughulikia changamoto zinazoikabili, kwa lengo la…

Geofrey Steven

ZARA TOURS MBELE YA MAPINDUZI YA UTALII KUPITIA MATUKIO MAKUBWA YA KIMATAIFA WAZIRI AFUNGUA MKUTANO WAONGOZA UTALII

Na Geofrey Stephen Arusha . Watanzania wamehimizwa kujiandaa na kujipanga ipasavyo ili kunufaika na fursa zitokanazo na matukio na mikutano mikubwa ya kimataifa inayotarajiwa kufanyika nchini, kwa lengo la kukuza…

Geofrey Steven