WANAFUNZI 150 KUPATA UFADHILI
Na Mwandishi wetu A24 Serikali imetangaza fursa mpya ya ufadhili wa masomo nchini Algeria kwa wanafunzi 150 waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Leo…
FAMILIA YA POUL MARCAS YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU YA ASHLEY POUL.
Na Geofrey Stephen Arusha: Familia, ndugu, jamaa, marafiki na waumini wamekusanyika katika Kanisa la Roman Katoliki ya Holy Family Gardens, Njiro jijini Arusha, kwa ajili ya Misa maalum ya kumbukumbu…
NEW OLAWE HOTEL YAZINDULIWA RASMI KWA BARAKA YA KANISA, PADRE PAUL RAIYA ATOA UJUMBE MZITO WA BARAKA NA ULINZI
Na Geofrey Stephen .ARUSHA — New Olawe Hotel imezinduliwa rasmi katika hafla iliyokwenda sambamba na Ibada ya Misa Takatifu pamoja na baraka maalum ya jengo hilo, huku Padre Paul Raiya…
YANGA KIBARUANI LEO KOCHA AIDI USHINDI , MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI YA TAREHE 12 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.
Karibu Arusha24Tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 12 Mwaka 2024 kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbelena nyuma Hii ni A24tv. Mwisho...
DC KARATU AIBUKA NA KAULI NZITO: “SIKUAMURU KUFYEKWA KWA MAZAO HEKARI 27 OLDEANI”
Na Geofrey Stephen Karatu . Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Lameck Karanga, amekanusha madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba alihusika au alitoa amri ya kufyekwa kwa mazao katika eneo…
VIGOGO HAWA WAITWA KESI YA LISSU ! CAG MSTAAFU ATAKA UWANJA WA AFCON ARUSHA UCHUNGUZI ABAINI UPIGAJI, MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPT 11 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.
Karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania leo tarehe 11 Mwaka 2026 mbele na myuma Hii ni A24tv. Mwisho..
ZARA TANZANIA ADVENTURES YAZINDUA RASMI KAMPENI YA TWENZETU KILELENI MSIMU WA TANO, WADAU WAKARIBISHWA.
Na Mwandishi wa A24tv . KAMPUNI ya Zara Tanzania Adventures imefanikiwa kuzindua msimu wa tano wa kampeni ya "Twenzetu kileleni 2026" Ikiwa na lengo kuu kupanda mlima Kilimanjaro na kusheherekea…
WAZIRI MKUU: TANZANIA YAPIGA HATUA KUBWA KUIMARISHA AFYA YA MSINGI
na Geofrey Stephen .ARUSHA: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema Serikali imepiga hatua kubwa katika kuimarisha huduma za afya ya msingi nchini,…
YANGA KUANZA ESHIMA LEO YA UBINGWA KIMATAIFA, SIMBA KESHO WENYEWE WATAMBA KUTOA KIPIGO KIZITO KWA WAPINZANI WAO ! MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI SPT 5 MWAKA 2026 NA ARUSHA 24TV.
Jumamosi leo tarehe 5 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho...
WAANGALIZI WA UCHAGUZI WATAJWA KESI YA MH LISSU ! MAGAZETI YA TANZANIA LEO SPT 4 MWAKA 2026 NA ARUSHA 24TV.
Karibu Arusha24tv leo Ijumaa ya tarehe 4 Mwaka 2026 kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho...


