MWENGE WA UHURU WAPONGEZA MRADI WA JIJI LA ARUSHA ULIOWAWEZESHA VIJANA KUFIKIA THAMANI YA SHILINGI MILIONI 76.7 🇹🇿 MWENGE WA UHURU WAKAGUA MRADI WA.
Na Geofrey Stephen .Arusha, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Michael Mwang'onda, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa jengo la upasuaji wa dharura katika…
MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI MKUBWA WA UPASUAJI WA DHARURA JIJINI ARUSHA.
Na Geofrey Stephen Arusha, Julai 9, 2026 – Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Michael Mwang'onda, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa jengo la…
ACT WAZALENDO NA CCM ZANZIBAR KIMEELEWEKA MARIDHIANO ! MAGAZETI YA LEO JULY 10 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.
karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya leo July 10 Mwaka 2026 mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho.
MWISHO WA ADHA YA MAJI KIMINDOROSI, WANAWAKE WAMSHUKURU RAIS SAMIA MWENGE WA UHURU WAPITISHA
Na Geofrey Stephen Arusha Wanawake Kimindorosi Wampongeza Rais Samia kwa Kuondoa Kero ya Maji Arusha Arusha, Julai 9, 2026 – Tabasamu limerejea kwa wanawake wa eneo la Kimindorosi, Mtaa wa…
DC Arusha Apokea Mwenge wa Uhuru 2026; Miradi ya Bilioni 3.9 Kutembelewa Wilayani
Na Geofrey Stephen Arusha . Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Joseph Modest Mkude, amepokea Mwenge wa Uhuru 2026 kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Mhe. Gloriana Julias Kimath,…
MIEZI NANE ATIMAYE CCM NA ACT WAZALENDO WAINGIA UKURASA MPYA WA MARIDHIANO ! MAGAZETI YA LEO JULY 9 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.
karibu Arusha24tv leo July 9 Mwaka 2026 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nguma Hii ni A24tv. Mwisho..
MWENGE WA UHURU 2026 WAPOKELEWA RASMI MKOANI ARUSHA; KUPITIA MIRADI 48 YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILION 27
Arusha Mwenge wa Uhuru 2026 umepokelewa rasmi mkoani Arusha ukitokea Mkoa wa Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Tingatinga, Wilaya ya Longido. Akizungumza katika hafla hiyo,…
TOSCI YAWAASA WAKULIMA KUTAMBUA UBORA WA MBEGU 7 7
Na Richard Mrusha Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewataka wakulima nchini kuhakikisha wanatumia mbegu zilizothibitishwa ili kujikinga na hasara za uzalishaji na kuongeza mavuno yenye tija. Akizungumza…
MATESO MAKUBWA BIASHARA ZAFUNGWA , DALADALA ZAKOSA ABIRIA ULINZI WAIMARISHWA KILA KONA ! MAGAZETI YA LEO JULY 8 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV
JumaTano ya leo July 8 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho.
SABASABA NI SHWARI WANANCHI KARIBUNI
Sabasaba ni shwari! 🇹🇿 Wananchi wote mlipo majumbani, karibu katika viwqnja vya SabaSaba . Mwisho...
