Hot News
- Quick Links
- Technology
- Business
- Science
- Covid-19 Statistics
Na Mwandishi wetu A24 Serikali imetangaza fursa mpya ya ufadhili wa masomo nchini Algeria kwa wanafunzi 150 waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Leo Septemba 11,2026 Jijini Dar es Salaam,Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kwamba Algeria imetoa nafasi 150 za masomo. Serikali ya Algeria italipa ada zote za chuo…
Na Geofrey Stephen Arusha: Familia, ndugu, jamaa, marafiki na waumini wamekusanyika katika Kanisa la Roman Katoliki ya Holy Family Gardens, Njiro jijini Arusha, kwa ajili ya Misa maalum ya kumbukumbu ya Ashley Poul, mtoto wa mfanyabiashara maarufu nchini, Poul Marcas, aliyefariki mapema mwaka huu. Misa hiyo imefanyika ikiwa na lengo la kumkumbuka, kumuombea na kumuenzi Ashley, huku familia na waombolezaji…
Na Geofrey Stephen .ARUSHA — New Olawe Hotel imezinduliwa rasmi katika hafla iliyokwenda sambamba na Ibada ya Misa Takatifu pamoja na baraka maalum ya jengo hilo, huku Padre Paul Raiya akisisitiza umuhimu wa kumweka Mungu mbele katika shughuli za uwekezaji na biashara. Uzinduzi huo uliwakutanisha mapadre, familia ya wamiliki wa hoteli pamoja na wageni mbalimbali katika eneo hilo, ambapo shughuli…
Jumamosi ya leo Augost 15 Mwaka 2026 karibu Arusha24t kutazama kilicho Andikwa…
Jumatano ya leo Spt 3 mwaka 2026 Karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa…
Na Mwandishi wa A24tv Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha…
Na Mwandishi wa A24tv. Karatu Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mhe. Dkt.…
Karibu Arusha24tv leo Juma Tano ya september 2 mwaka 2026 kutazama kilichovandikwa…
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) leo tarehe 31,Agositi 2026 umeendesha…
Karibu Arusha24tv leo jumanne ya tarehe 1 Spt 2026 kutazama habari kubwa…
Na Geofrey Stephen . ARUSHA: Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC)…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Arusha imevuka lengo la makusanyo…
Confirmed
65.10M
Death
6.60M
Naibu Waziri wa Kilimo, Davide Silinde, amepongeza uwekezaji wa DATTIEKO INVESTMENT katika Maonyesho ya Nane Nane jijini Arusha. Akiitembelea banda la DATTIEKO INVESTMENT katika maonyesho hayo, Naibu Waziri alipata fursa…
Sign in to your account