MKURUGENZI WA THE PICNIC LOUNGE ARUSHA, ANTHONY URASA, AUNGANA NA WAFANYAKAZI KUSHEREHEKEA MEI MOSI KWA SHANGWE KUBWA

Geofrey Stephen Arusha . Arusha Mkurugenzi Mtendaji wa The Picnic Lounge jijini Arusha, Anthony Urasa, mapema leo amejumuika na wafanyakazi wake katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi).…

Geofrey Steven

NI MEI MOSI LEO RAIS SAMIA KUTETA NA WAFANYAKAZI ! NAULI MPYA KICHEKO AU KILIO LEO, MAGAZETI YA LEO MAY 1 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .

Ijumaa ya leo May 1 Mwaka 2026 karibu kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .   Mwisho.

Geofrey Steven

UNESCO NA MAIPAC WAJA NA MWONGOZO KWA WANAHABARI NA WATENGENEZA MAUDHUI JAMII ZA PEMBE ZONI .

Mwandishi wetu,Arusha Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni(UNESCO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia jamii za pembezoni(MAIPAC) na Idara ya Habari Maelezo, wanaandaa mwongozo kwa…

Geofrey Steven

MAANDALIZI MEI MOSI, YAKAMILIKA RAIS. SAMIA ,MGENI RASMI NI TABASAMU ZITO KWA WAFANYAKAZI ! MAGAZETI YA LEO APRIL 30 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV

Alhamisi ya leo April 30 Mwaka 2026 karibu Arusha 24tv kutazama habari kubwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                                  Mwisho..

Geofrey Steven

MUUNGANO CUP LEO NI VIGOGO WA KARIAKOO YANGA NA SIMBA ! MAGAZETI YA LEO APRIL 29 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Jumatano ya leo. April 28 Mwaka 2026 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                             Mwisho..

Geofrey Steven

Mfumo wa Matangazo 👉 Hatua Mpya Arusha: Magari Mapya na PA System Kuongeza Ufanisi wa Huduma.

Na Geofrey Stephen  Arusha, Katika jitihada za kuendelea kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, Jiji la Arusha limechukua hatua muhimu kwa kukabidhi rasmi magari mawili mapya pamoja na mfumo wa…

Geofrey Steven

MTU ASIYEJULIKANA AKUTWA AMEFARIKI KWENYE MTO SANYA UNAOUNGANISHA WILAYA YA HAI NA SIHA.

Na Mwandidhi wa A24tv. Hai, Wenyeviti wa Vijiji viwili Munge Wilayani Siha pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mungushi Wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro,wameomba Serekali kuwajengea kivuko kinacho unganisha vijiji…

Geofrey Steven

CHADEMA MPYA MWELEKEO MPYA ! MAGAZETI YA LEO APRIL 28 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Jumanne ya leo April 28 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazetiya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                               Mwisho.

Geofrey Steven

SERIKALI YAONGEZA KASI! OFISI YA MWANASHERIA MKUU KUWA NGUZO YA DIRA YA TAIFA 2050.

Na Geofrey Stephen Arusha . Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Yajipanga Kuwa Chachu ya Dira ya Taifa 2050 Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari, amesema kuwa Ofisi…

Geofrey Steven

JOHARI AWAKUMBUSHA WATUMISHI: NIDHAMU NA BIDII NDIO MSINGI WA MAFANIKIO

Na Geofrey Stephen wa A24tv . Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amewataka watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuendelea kufanya kazi kwa bidii, nidhamu na weledi ili…

Geofrey Steven