WAZIRI MKUU Mwigulu Lameck Nchemba AKAGUA UJENZI WA STENDI KUU ARUSHA, MRADI WA BILIONI 14.3 WAFIKIA ASILIMIA 49
Na Geofrey Stephen Arusha . Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, leo Jumanne Februari 24, 2026, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa…
DKT. MWIGULU AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA MAJI SINYA–NAMANGA 🇹🇿
Na Geofrey Stephen Namanga . Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 23, 2026 ametembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa Majisafi wa…
WAZIRI MKUU AZINDUA SHULE YA SEKONDARI SINYA YENYE THAMANI YA BILIONI 1.2 LONGIDO
Na Geofrey Stephen Longodo. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, leo Februari 23, 2026 amezindua rasmi Shule ya Sekondari Sinya iliyopo Kata ya…
WAZIRI MKUU DKT MWIGULU AKUTANA NA KERO ZA WANANCHI NAMANGA WANACHI WAMLILIA WAMTAKA ABAKI ! MAGAZETI YA LEO FEB 24 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV
Karibu Arusha24tv leo Feb24 Mwaka2026 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. MWishoo.
Waziri Mkuu atoa pongenzi kwa ujenzi wa jengo la utawala Hospital maalumu ya Taifa ya magonjwa ambukizi,hata vumilia watumishi wazembe
Na Bahati Siha. Mbunge Mollel,aomba gari kwa ajili ya Kulinda mazao ya wakulima Siha,Waziri mkuu wa Tanzania Mwingulu Nchemba ,ametoa pongenzi kwa Uongozi wa Hospital maalumu ya Taifa ya magonjwa…
DKT. MWIGULU: SOMENI KWA BIDII KUMUENZI RAIS SAMIA, WAZAZI WENU,AMEAGIZA MKANDARASI ALIYE JENGA SHULE YA AAMALI KUKAMATWA
Siha, WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi wanaosoma shule ya sekondari ya wasichana ya mkoa wa Kilimanjaro iliyopo Wilayani Siha mkoani hapa,wasome kwa bidii ili kuwaenzi wazazi wao pamoja…
PROFESA LIPUMBA AGOLEWA MWENYEKITI CUF ! KASI YA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA YATISHIA MAISHA YA KAMISHNA , MAGAZETI YA LEO FEB 23 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .
Juma Tatu ya leo Feb 23 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwishoo....
GIZA NENE KUTEKWA NA KUUAWA KWA BANJOO ‘ RASMI YANGA SIMBA KUCHEZA ZANZIBAR ! UTATA WAANZA , MAGAZETI YA LEO FEB 21 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .
Jumamosi ya leo Feb 21 Mwwaka 2026 karibu Arusha24rtv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ninA24tv. Mwisho...
CCM NA CHADEMA WAZIBE PENGO LA CARDINAL PENGO KWA MKONO WA HERI NA TABASAMU
*CCM na CHADEMA wazibe pengo la Cardinal Pengo kwa kunyosheana mkono wa heri na uso wa tabasamu.(maridhiano)* Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa mang'amuzi yake kwa viongozi wa CCM na CHADEMA…
HAI YAZINDUA UANDIKISHAJI NA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA NHIF: KAYA 3,220 KUNUFAIKA NA BIMA YA AFYA KWA WOTE.
Na Bahati Hai. Jumla ya kaya 3,220 katika Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro zimeanza kunufaika na Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kupitia NHIF, ikiwa ni utekelezaji wa sheria…
