WANANCHI SIHA WAONYWA: KIFUNGO CHA MIEZI 6 KWA KUPIGA SIMU YA UONGO 114 – JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAPOKEA GARI JIPYA LA LITA 7,000

Na Bahati Siha . Wananchi wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wameonywa kuwa watakaotoa taarifa za uongo kwa kupiga namba 114 ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wanaweza kukumbana na…

a24tv

MWILI WA MFANYABIASHARA BANJOO WAFIKA ARUSHA KUZIKWA LEO SANAWARI ARUSHA ! MAGAZETI YA LEO FEB 20 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Ijumaa ya leo Feb 20 Mwaka 2026 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                            Mwishoo..

a24tv

HALMASHAURI ZOTE NCHINI ZATAKIWA KUONGEZA UFANISI KATIKA UKUSANYAJI

Na OWM-TAMISEMI, Dodoma Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuwezesha utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo inayoanza Julai 2026, ikiwemo Dira ya…

a24tv

SIMANZI KUBWA: MFANYABIASHARA MAARUFU WA MADINI ARUSHA AKUTWA AMEUAWA KIKATILI KONDOA, FAMILIA YALALAMIKA KWA UCHUNGU

TAARIFA YA KUSIKITISHA: Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Abdilah Musa maarufu kama Banjo, amefariki dunia baada ya mwili wake kukutwa katika eneo la Bereko, wilayani Kondoa mkoani Dodoma. Banjo,…

a24tv

WAZIRI MKUU AAGIZA FAGIO KUPITA? HALMASHAURI YA MUHEZA UTENDAJI MBOVU MAGAZETI YA LEO FEB 19 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo Feb 19 Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.4                           Mwisho...

a24tv

MWANAFUNZI ALIYESOMA SHULE KONGWE SEKONDARI YA LYAMUNGO HAI AHAIDI KUKARABATI MAABARA YA KILIMO KUTOKANA NA UCHAKAVU WA MIUNDOMBINU.

Hai,kilimanjaro. Shule ya Sekondari Lyamungo Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambayo ni kongwa inakabiliwa na uchakavu wa miundombinu mbali mbali katika shule hiyo , ikiwamo uchakavu wa nyumba za walimu…

a24tv

KESI YA LISSU KUENDELEA KUNGURUMA LEO SHAHIDI WA 7 KIZIMBANI ! MAGAZETI YA LEO FEB 16 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .

Karibu Arusha24tv leo Feb 16 Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .                                   Mwishoooo...  

a24tv

JMAT SIHA YAFANYA KAMPENI YA UCHANGIAJI DAMU KUADHIMISHA MARIDHIANO DAY, YAKUSANYA CHUPA 75 ZA DAMU.

katika kuadhimisha Maridhiano Day, Jumuhiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Wilaya ya Siha mkoani Siha District imefanya kampeni ya uchangiaji damu kama sehemu ya juhudi za kuunga mkono Serikali…

a24tv

JMAT SIHA YAADHIMISHA MARIDHIANO DAY KWA KAMPENI KUBWA YA UCHANGIAJI DAMU.

Na Mwandi wa A24tv Siha   Katika kuadhimisha Maridhiano Day, Jumuhiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imefanya kampeni ya uchangiaji damu kwa lengo la…

a24tv

SIMBA KIBARUANI LEO KIMATAIFA ! YANGA KESHO UWANJA WA AMANI ZANZIBAR , MAGAZETI YA LEO FEB 14 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .

Karibu Arusha24tv leo Juma Mosi ya tarehe 14 Mwezi Feb Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .                         Mwisho...

a24tv