MFANYA BIASHARA MAARUFU ASKOFU DK. PHILEMON “MONABAN” MOLLEL AINGIZWA KAZINI RASMI KUA ASKOFU MSAIDIZI KKAM NITAWATETEA WANYONGE WAHUMINI WAMWAGA ZAWADI KWAKE.

Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) limemuingiza rasmi kazini Askofu Dk. Philemon Mollel, maarufu kwa jina la Monaban, kuwa Msaidizi wa Askofu Mkuu wa kanisa hilo, katika Parokia ya Ngulelo…

a24tv

KARIAKOO DABI YAIVA ZANZIBAR KILA KONA NI YANGA SIMBA NI TAMBO TU! PENGO KUZIKWA LEO ,MAGAZETI YA LEO FEB 28 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Jyma Mosi ya Feb 28 Mwaka 2026 karibu kutazama habari kubwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .                       Mwishooo.....

a24tv

TEA YAJA NA SULUHISHO KWENYE SEKTA YA NISHATI.

Na Mwandishi wetu Mwakilishi wa Wizara ya Nishati, Emilian Nyanda, amewapongeza wataalamu na wadau wa sekta ya nishati kupitia Tanzania Energy Association (TEA) kwa mchango wao mkubwa wa kuwaunganisha wadau…

a24tv

MAELFU YA WANANCHI LEO KUMUAGA KARDINALI PENGO, DAR ! KUZIKWA KESHO PUGU MAGAZETI YA LEO FEB 27 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo Feb27 Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                           Mwishoo..

a24tv

Balton Tanzania YAZINDUA VIUATILIFU 10 KUSAIDIA WAKULIMA NCHINI KUONGEZA

Mwandishi Wetu, Arusha. Kampuni ya Balton Tanzania, imezindua viatilifu 10 vipya kusaidia wakulima wa Ngano, Mahindi, Kahawa, Korosho,Nyanya, Vitunguu na Maharage, Mbogamboga na kukabiliana visumbufu kwenye mazao na kuongeza uzalishaji…

a24tv

TAHADHARI MAFUA MAKALI ,UGONJWA WA UVIKO-19 YANGA,YAGAWA DOZI KWA JKT SIMBA YAAMBULIA SARE KWA DODOMA FC MAGAZETI YA LEO FEB 26 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo Feb 26 Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hi ni 24tv.                            Mwishooo...

a24tv

Anamiliki maduka ya mapambo ya ndani baada ya msoto mkali

Anamiliki maduka ya mapambo ya ndani baada ya msoto mkali Naitwa Said, mkazi wa jiji la Dar es Salaam, maeneo ya Kariakoo mtaa wa Congo. Kwa miaka tisa, nimekuwa nikihangaika…

a24tv

Aliyekuwa akifanyiwa vikao vya ukoo kisa kutobeba ujauzito, sasa anapakata pacha!

Aliyekuwa akifanyiwa vikao vya ukoo kisa kutobeba ujauzito, sasa anapakata pacha! Naitwa Agatha, mkazi wa mkoa wa Kagera. Licha ya kuwa na heshima kubwa kazini kama Mwalimu Mkuu, nyumbani kwangu…

a24tv

BI RAMADHANI CUP YAANZA KWA KASI HAI, NYOTA WA Simba Sports Club WATAMBA.

Mashindano ya Bi Ramadhani Cup yameanza rasmi katika Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro Region, yakifunguliwa Februari 22, 2026 katika Uwanja wa Uzunguni kwa mchezo kati ya Uzunguni na Kware. Akizungumza…

a24tv