BAADA YA MIAKA 14 BILA FIDIA, DC HAI AAGIZA AFISA ARDHI ALETWE KUTOKA SINGIDA KUJIBU TUHUMA.

Na Mwandishi .Wetu Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Hassan Bomboko, ameagiza Afisa Ardhi wa zamani wa wilaya hiyo ambaye kwa sasa anafanya kazi mkoani Singida atafutwe na kuletwa…

a24tv

SHEIKH WILAYA YA SIHA: UJIO WA MWIGULU NCHEMBA UMELETA FARAJA ✨

Na Bahati Siha, Wanafunzi wa Shule ya Sekondari maalumu ya Wasichana ya Kilimanjaro iliyopo Wilayani siha mkoani hapa iwameelezwa kwamba wanadeni la kulipa la kufanya vuzuri katika mitihani yao inayotarajiwa…

a24tv

WAHASIBU WA MALIASILI NA UTALII WAKUTANA ARUSHA.

Na Ananngisye Mwateba- Arusha Wahasibu wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi, nidhamu na kuzingatia taaluma kwa kuwa wao ni walinzi wakuu wa nidhamu ya matumizi ya fedha za umma. Akizungumza…

a24tv

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZA UPASUAJI USIO WA KITAALUMA UNAODAIWA KUFANYWA NA MUUGUZI MKOANI TABORA

Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) ni chama cha kitaaluma cha wauguzi nchini kilichoanzishwa kisheria chini ya Sheria ya Vyama vya Kijamii na Kitaaluma (Societies Ordinance Act), 1954 (Rule 5). Moja…

a24tv

DCEA YAKAMATA TANI 9.93 LA DAWA YA KULEVYA! ZIPO DAWA ZA ASILI, MAGAZETI YA LEO MARCH 5 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo tarehe 5 Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwishoo...

a24tv

LISSU TENA ARUKA KIUNZI KESI YA RASILIMALI ZA CHADEMA ! MAGAZETI YA LEO MARCH 4 MWAKA 2026 NA ARUSHA 24TV .

Juma Tano ya leo March 4 karibu Arusha24tv kutazama habari kubwa zilizo andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.       Mwishooo.

a24tv

DKT MWIGULU ACHOSHWA NA KERO YA MGOGORO WA ARDHI MKOANI MANYA ATOA MAAGIZO MAZITO ! MAGAZETI YA LEO MARCH 3 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo March3 Mwaka 2026 kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                             Mwishoo..

a24tv

TENGENI SIKU MAALUM ZA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NGAZI YA KATA- PROF. SHEMDOE

Na Mwandishi wa A24tv. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Wakuu wa Mikoa wote nchini…

a24tv

KAULI YA DKT NCHIMBI YAZUA UTATA NI KATIKA MAZIKO YA KARDINALI PENGO ! MAGAZETI YA LEO MARCHI 2 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .

Karibu Arusha24tv leo March 2 Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                               

a24tv

MFANYA BIASHARA MAARUFU ASKOFU DK. PHILEMON “MONABAN” MOLLEL AINGIZWA KAZINI RASMI KUA ASKOFU MSAIDIZI KKAM NITAWATETEA WANYONGE WAHUMINI WAMWAGA ZAWADI KWAKE.

Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) limemuingiza rasmi kazini Askofu Dk. Philemon Mollel, maarufu kwa jina la Monaban, kuwa Msaidizi wa Askofu Mkuu wa kanisa hilo, katika Parokia ya Ngulelo…

a24tv