DC MOSHI: UBAKAJI NA ULAWITI SI MILA YA KILIMANJARO — JAMII YATAKIWA KUPIGA VITA UKATILI WA KIJINSIA

Moshi, Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Godfrey Mzava, ameitaka jamii ya mkoa wa Kilimanjaro kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo ubakaji na ulawiti, akisisitiza kuwa vitendo hivyo…

a24tv

SHILINGI 500. YAONDOA MAISHA YA WATU WANNE CLABUNI ! MAGAZETI YA LEO MARCH 16 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo Marchi 16 Mwaka 2026 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                          Mwishoo.

a24tv

MIOYO YA WAGONJWA KCMC KWA SADAKA ❤️ MATENDO YA HURUMA: WANAFUNZI MODIO ISLAMIC WATOA SADAKA KWA WAGONJWA WA SARATANI KCMC.

Na Bahati Kilimanjaro . Wanafunzi wa kidato cha sita kutoka Shule ya Sekondari Modio Islamic Seminar wilayani Hai, mkoa wa Kilimanjaro, wametembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya…

a24tv

SIMBA TRA UNITED LEO APOTOSHI ARUSHA ! YANGA AZAM WATAMBIANA KUELEKEA DABI YA KESHO MAGAZETI YA LEO MARCH 14 MWAKA 2026 NA A24TV .

Karibu Arusha24tv leo Jumamosi ya tarehe 14 Mwaka 2026 kutazama habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hiini A24tv.             Mwishoo.

a24tv

RIPOTI YA NGORONGORO YAMFIKIA RAIS SAMIA ! MAGAZETI YA LEO MARCHI 13 MWAKA2026 NA ARUSHA24TV

Ijumaa ya Narchi 13 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                             Mwishoo.

a24tv

VIGOGO DUNIANI WAUMIZA VICHWA KUPAA JUU KWA BEI YA MAFUTA ! MAGAZETI YA LEO MARCH12 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Alhamisi ya leo Marchi 12 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                    Mwishoo...w  

a24tv

USHIRIKIANO MPYA WA NM-AIST NA GLOBAL EDUCATION LINK KUFUNGUA FURSA ZA ELIMU NA UWEKEZAJI KWA VIJANA WENYE VIPAJI KUNUFAIKA

Geofrey Stephen Arusha – Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imesaini hati ya makubaliano (MOU) na taasisi binafsi ya Global Education Link Ltd kwa lengo…

a24tv

MWANAMKE AMCHOMA MOTO WA PETOL MUME WAKE! DKT MWIGULU NA MAAGIZO MAZITO KWA MWANASHERIA MKUU KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI , MAGAZETI YA LEO MARCHI 11 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .

Juma tano ya leo Marchi 11 Mwaka 2026 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                       Mwishooo....

a24tv

SHEIKH WA KILIMANJARO AWATAKA WALIMU KUZINGATIA RATIBA ZA MASOMO ILI WATOTO WAPATE MUDA WA MADRASA

SIHA, Kilimanjaro – Machi 10, 2026. Sheikh wa Mkoa wa Kilimanjaro, Shaabani Mlewa, amewaomba walimu kuzingatia ratiba za masomo zilizowekwa na Serikali ili kuondoa changamoto inayowafanya wanafunzi kuchelewa kufika nyumbani,…

a24tv

MAAFISA UGANI MIFUGO NA UVUVI TATUENI CHANGAMOTO ZA WAFUGAJI NA WAVUVI KITAALUMA – BI. MAYEMBA

Na. Mwandishi wetu Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Makambako, ambaye ni Mkuu wa Idara ya usafi na uthibiti wa taka ngumu, Bi. Appia Mayemba amewataka Maafisa Ugani…

a24tv