JOSHUA NASARI SINTAKUA MBUNGE WA POSHO NITALETA MAENDELEO KWA KASI SANA JIMBONI .
Na Geofrey Stephen Arumeru Mashariki Wananchi kutoka vijiji na kata mbalimbali walijitokeza kwa wingi kumsindikiza, wakiwa na nyuso za furaha, nderemo na vifijo. Barabara zilipambwa kwa rangi za kijani na…
