WANANCHI WAMIMINIKA KATIKA MAONESHO YA SABA DABA VIWANJA VYA MWL JULIAS NYERERE DAR ES SAALAM KWA WINGI

Geofrey Steven
0 Min Read

Wananchi wanaendelea kumiminika kwa wingi katika Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu Julius K. Nyerere, maarufu Sabasaba, kushuhudia Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Maonesho hayo yameendelea kuvutia maelfu ya wageni wanaofika kujionea bidhaa, huduma, teknolojia na fursa mbalimbali za biashara kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Habari Picha 19161
Habari Picha 19162
Habari Picha 19165
Share This Article
Leave a Comment