MRISHO MPOTO NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA

Geofrey Steven
0 Min Read

Msaanii wa muziki hapa nchini, Mrisho Mpoto akiwasili kwenye viwanja Vya mwalimu Nyerere (Sabasaba)ambalo kunafanyika maonesho ya kimataifa ya biashara ya Dar es salaam (DITF)kwenye sherehe za siku ya Sabasaba kitaifa

Habari Picha 19154
Habari Picha 19157

Basi la shirika la Posta Tanzania ambalo hutumika kuwazungusha katika maeneo mbalimbali ya mabanda ya maonesho ya Sabasaba wananchi wanaotembelea maonesho hayo likiwa linaendelea na shughuli zake kama kawaida Leo Julai 7,2026

 

Habari Picha 19158

 

Share This Article
Leave a Comment