Karibu katika banda la Bodi ya Kahawa Tanzania kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba!

Geofrey Steven
1 Min Read

Karibu katika banda la Bodi ya Kahawa Tanzania kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba! ☕🇹🇿

Banda letu limependeza na kunoga kwa shughuli mbalimbali zinazolenga kuhamasisha utamaduni wa unywaji wa kahawa na kuonesha ubora wa kahawa ya Tanzania.

Habari Picha 19168
Habari Picha 19169

Tunawakaribisha wadau na wananchi wote kutembelea banda letu, kujifunza kuhusu sekta ya kahawa, kuonja kahawa yenye ubora wa hali ya juu, na kufahamu fursa zilizopo katika mnyororo mzima wa thamani wa kahawa.

Habari Picha 19175
Habari Picha 19172

Usikose kupita katika banda la Bodi ya Kahawa Tanzania—karibu uonje ladha halisi ya kahawa ya Tanzania!

Mwisho …

Share This Article