JAMHURI YAONDOA PINGAMIZI DHIDI YA MPINA ! MAGAZETI YA LEO. SEPT 4 MWAKA 2025 NA A24TV .COM
Karibu Arusha 24rv leo Sept 4 Mw kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
CHADEMA YATANGAZA MSIMAMO MZITO ! MAGAZETI YA LEO SEPT 3 MWAKA 2025 NA A24TV.COM
Karibu Arusha24tv leo Sept 3 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho.
Juma Jani mgombea udiwani Kata ya Sanya juu Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, azindua kampeni, kwa ahadi mbali mbali ikiwamo ujenzi wa soko la kisasa
Siha, Mgombea udiwani Kata ya Sanya juu Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro,kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Juma Jani,ameahidi kujenga Soko la Kisasa ili wafanya biashara waweze kufanya biashara zao katika mazingira…
MBIVU MBICHI MPINA KUWANIA URAIS KUJULIKANA LEO ! MAGAZETI YA LEO SEPT 2 MWAKA 2025 NA A24TV
Karibu Arusha24tv leo Sept 12 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
JOSHUA MBELE YA MAELFU YA WANANCHI WAKE MMI NI MBUNGE WA VITENDO SIYO WA POSHO ”
Wananchi wa Arumeru Mashariki Waonyesha Imani Kubwa kwa Joshua Nasari Wananchi wa Arumeru Mashariki wameonyesha imani kubwa kwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Joshua Nasari, mara baada…
Tani 27, 550 za ufuta zenye thamani ya bilioni 80 zimeuzwa
Na Mwandishi Wetu, Mtwara TANI 27,550 za ufuta zenye thamani ya sh bilioni 80 zimeuzwa na wakulima wa Mtwara, kupitia minada inayofanyika kwa kutumia mfumo wa Soko la Bidhaa Nchini…
Fanyeni kazi kwa bidii kulinda taswira ya TARURA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Wafanyakazi wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili waweze kulinda taswira nzuri ya Wakala huo.…
Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN
Afrika ijadili changamoto za Sekta ya utalii-UN Na Mwandishi Wetu- Zambia KATIBU Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism),Zurab Pololikashvili amezitaka nchi za Afrika kuzungumzia…
Kadi za mpiga kura zenye jina la zamani la Tume ni halali
Na Mwandishi Wetu Kadi za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina la Tume ya Uchaguzi…
Dada wa kazi aliyejeruhi akamatwa
Na Lucy Lyatuu JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyekuwa mfanyakazi wa ndani aitwaye Clemensia Cosmas Mirembe (19) akiwa amejificha kwenye "pagala” maeneo ya…