Wagonjwa 472 Wapatiwa Huduma za Mifupa na Madaktari wa MOI, 40 Wapendekezwa Kutibiwa Dar es Salaam
wagonjwa 472, wengi wao wakiwa na matatizo ya afya yanayohusiana na mgongo na nyonga
TUMESHUSHA MZIGO MKUBWA HAPA NYUMBANI HOME MARKET WAI SASA KUJIPATIA MAHITAJI YA NYUMBANI NA OFISINI .
Karibu Home Market iliopo Jengo la bilionea laizer Saninu mkabala na bara bara ya Sakina kujipatia maitaji muhimu na kwa bei poa zaidi Hizi ni bidhaa zinazo patikana home market…
MAUAJI ASKARI POLISI ARUSHA YASHTUA ALIPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI ! MAGAZETI YA LEO OCT 13 MWAKA 2025 NA A24TV .
Karibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo Oct 13 Mwaka 2024 katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv Mwisho.
VETA Yaendelea Kutoa Mafunzo ya Ufundi Kupitia Mfumo wa Kisasa wa VSOMO
Na Mwandishi Wetu, Mbeya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeendelea kutumia teknolojia ya kisasa kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa VSOMO, unaowawezesha wanafunzi…
Serikali Yaweka Kipaumbele Katika Mikakati ya Kuwawezesha Vijana
Na Mwandishi Wetu, Mbeya Serikali inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaendelea kutekeleza mikakati madhubuti ya kuhakikisha vijana wanapata fursa sawa za…
WATUHUMIWA WATANO WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA ASKARI POLISI ARUSHA ALIKUA BAA YA SIMALOI NA MARAFIKI WAKIPATA KINYWAJI
Na Geofrey Stephen Arusha . Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya Askari Polisi, Omary Mnandi (30), aliyekuwa mkazi wa Jiji la Arusha.…
Majaliwa: Serikali Yazindua Programu Maalum ya Uanagenzi Kwa Ajili ya Vijana
Na Mwandishi Wetu MBEYA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeanzisha programu maalum ya Uanagenzi kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, inayolenga kuwapatia vijana wa Kitanzania ujuzi wa kazi bila…
VETA Yaonesha Ubunifu wa Teknolojia ya Hybrid Katika Wiki ya Vijana Kitaifa
Na Mwandishi Wetu MBEYA: Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Mbeya kimeonyesha teknolojia ya kisasa ya mfumo wa Hybrid kwa magari katika Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yanayoendelea mkoani humo, likionesha namna ubunifu…
YANGA SIMBA WATAMBA KUFANYA VYEMA KIMATAIFA ! MAGAZETI YA LEO. OCT 11 MWAKA 2025 NA A24TV
Juma Mosi ya leo Oct 11 karibu kutazama kilicho Andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Majaliwa: Hakikisheni Mnaungana na NHIF Ili Kufurahia Huduma Bora za Afya
Majaliwa Atoa Wito kwa Watanzania Kujiunga na NHIF Ili Kununua Huduma Bora za Afya Na Mwandishi Wetu MBEYA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga kutoa elimu kwa wananchi kuhusu…
