MFANYA BIASHARA JENIFER JOVIN (NIFFER) ASOMEWA KESI YA UHAINI YEYE NA WENZAKE 21

Na Mwandishi wa A24tv Dar es Salaam Mahakama va Hakimu Mkazi Kisutu, Jiiini Dar es Salaam Leo Novemba 07, 2025, imewasomea mashtaka matatu (3) ya uhaini , Mfanyabiashara Jenifer Jovin…

Geofrey Stephen

ZAIDI YA WAGENI 140 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WATEMBELEA HIFADHI YA KILWA KISIWANI

Na Mwandishi Wetu, Lindi Hifadhi ya Urithi wa Utamaduni wa Dunia ya Magofu ya Kale ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara wilayani Kilwa imeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa watalii kutoka…

Geofrey Stephen

NINI HATIMA YA KUSHIKILIWA KWA JOHN HECHE ! MAGAZETI YA LEO NOVEMBER 6 MWAKA 2025 NA A24TV .

Karibu Arusha 24tv leo Novemba 6 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na ntuma Hii ni A24tv.                   Mwisho.

Geofrey Stephen

Luteni Kanali Meidin Apiga Kura, Atoa Wito wa Amani Katika Uchaguzi Mkuu 2025

  Na Geofrey A24tv . Luteni Kanali Meidin (Mstaafu) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, mapema leo ametimiza haki yake ya kikatiba kwa kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba…

Geofrey Stephen

WATANZANIA MILIONI 37 LEO KUCHAGUA RAIS , WABUNGE, NA MADIWANI MAGAZETI YA LEO OCT 29 MWAKA 2025 NA A24TV

Hyma Tano ya leo Oct 29 Mwaka 2025 karibu kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Nyuma Hii ni A24tv                            Mwisho .

Geofrey Stephen

MBUNGE MTEULE CHIKU ISSA AHIMIZA WATANZANIA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA KESHO

Na Joseph Ngilisho-ARUSHA Mbunge mteule wa Mkoa wa Arusha kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Chiku Issa, ametoa wito kwa wananchi kote nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba…

Ngilisho Joseph

MWENEZI WA CCM TAIFA ,KUNAMAKADA WA CCM .WALITUMWA KUVURUGA SERIKALI ! MAGAZETI YA LEO OCT 28 MWAKA 2025 NA ARUSHA24TV .

Juma nne ya leo Oct 28 Mwaka 2026 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv ..                          …

Geofrey Stephen

Idadi ya Wananchi 150147 jimbo la Hai mkoa wa Kilimanjaro wanatarajia kupiga kura tarehe 29, wahakikishiwa usalama wao.

Idadi ya Wananchi 150147 jimbo la Hai mkoa wa Kilimanjaro wanatarajia kupiga kura tarehe 29, wahakikishiwa usalama wao Uku akitoa wito kwa wapiga kura ambao ni Wananchi kujitokeza kwa wingi…

Geofrey Stephen

Maandamano Pekee Ni Ya Kupiga Kura” — DC Mkude Awatoa Hofu Wananchi

Na: Geofrwey Stephen Mwandishi wa Arusha,  Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Watanzania kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, amewatoa…

Geofrey Stephen

MALECELA ATOA KAULI NZITO KUHUSU AMANI ! MAGAZETI YA LEO OCT 27 MWAKA 2025 NA ARUSHA 24TV .

Karibu Arush24tv leo Oct 27  Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                           Mwisho.

Geofrey Stephen