MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA JOHN HECHE AFIKA MSIBANI KWA MZEE MTEI NATOA POLE KWA FAMILIA MSIBA NI WETU WOTE
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mheshimiwa John Heche, amefika msibani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei katika eneo la Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha. Mh Heche…
MTEI KUZIKWA KESHO MAMIA KUMSINDIKIZA LEO NYUMBANI KWAKE VIGOGO WA CHADEMA WAFURIKA ARUSHA ! MAGAZETI YA LEO JAN 23 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .
Ijumaa ya leo Jan 23 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
Uwekezaji wa TIB Wachangia Kuongezeka kwa Ajira
Na Lucy Ngowi TANGA: BENKI ya Uwekezaji Tanzania (TIB) imeendelea kuwa mdau muhimu katika kukuza uchumi wa Taifa kupitia ushirikiano wake na taasisi za serikali pamoja na sekta binafsi, hususan…
BoT: Tumia Taasisi za Fedha Halali kwa Usalama wa Kifedha
Na Lucy Ngowi BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imewahimiza wananchi kuhakikisha wanatumia huduma za taasisi za fedha zilizosajiliwa rasmi ili kujilinda dhidi ya hatari za kifedha na kuchangia maendeleo ya…
TADB Yatoa Elimu ya Kifedha kwa Wananchi na Wanafunzi Tanga
Na Lucy Ngowi BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetumia maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha Kitaifa kutoa elimu ya kifedha kwa wananchi na wanafunzi, ikiwa ni sehemu…
DIB: Wenye Amana Benki Zilizofungwa Kulipwa Ndani ya Mwezi Mmoja
Na Lucy Ngowi BODI ya Bima ya Amana (DIB) imesema wananchi waliokuwa na amana katika benki zitakazofungwa au kufutiwa leseni na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) hulipwa fidia ya…
Luswetula Aagiza Udhibiti Mkali wa Mikopo Kandamizi
Na Lucy Ngowi NAIBU Waziri wa Fedha, Laurent Luswetula, amezitaka mamlaka husika ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuimarisha udhibiti wa sekta ya fedha ili kuwalinda wananchi dhidi ya…
CCM YAJIWEKA PEMBENI KUHUSU CHADEMA KUFANYA SIASA YADAI HAIHUSIKI ! MAGAZETI YA LEO JAN 22 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.
Alhamisi ya leo Jan 22 Mwaka 2026 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho andikwa katika magqzeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho.
CHADEMA YAPATA PIGO ? MZEE MTEI APUMZIKA ! MAGAZETI YA LEO JAN 21 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .
Juma Tano ya leo Jan 21 karibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
DC HAI ATOA SIKU TATU KUPATA TAARIFA ZA WATOTO WANAODAI KUFANYIWA VITENDO VYA UKATILI SOKO LA SADALA
Na Bahati Hai. Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Hassani Bomboko, ametoa siku tatu kwa Idara ya Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kupitia Dawati la…
