KILELE SIKU SHERIA ! SERIKALINI ; NI MARUFUKU KUZUNGUMZIA OCT 29 , MAGAZETI YA LEO FEB 3 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV.

Karibu Arusha24tv leo tarehe 3 Mwaka 2026 kutazama habari kubwa zilizo Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                             Mwisho ....

a24tv

Binti Yangu Alipata Haki Kwa Njia Hii Spesheli Baada ya Kuteswa Kwa Nchi Ya Kiarabu

Nilishuhudia maumivu makali yasiyo ya kawaida. Binti yangu alipewa kazi nje ya nchi kwa matumaini ya maisha bora, lakini badala yake alikumbana na mateso makali. Mara nyingi alirudi nyumbani akiwa…

a24tv

SIMBA YAAGA RASMI MICHUANO YA KIMATAIFA SASA KUJIPANGA NA NBC MAGAZETI YA LEO FEB 2 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV

Karibu Arusha24tv leo Juma tatu ya Feb 2 Mwaka 2026 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                               Mwishoo.

a24tv

POLISI SIHA WAOMBA USHIRIKIANO WA MADIWANI KUPAMBANA NA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO.

Siha, Kilimanjaro Jeshi la Polisi Wilaya ya Siha limewaomba madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kushirikiana kikamilifu na jamii katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili vinavyowalenga wanawake na watoto.…

a24tv

ZARA TOURS YANG’ARA TENA SERENGETI, YAUTHIBITISHA UBORA WAKE KWA KUTWAA NA KUENDELEZA HESHIMA KATIKA TUZO ZA KIMATAIFA

Geofrey Stephen . Arusha Kampuni ya utalii ya Zara Tours yenye makao yake makuu mjini Moshi imeendelea kudhihirisha ubora wake katika sekta ya utalii baada ya kunyakua tuzo nyingine muhimu…

a24tv

AMBONI ADVENTURE RUN, FURSA YA KUTANGAZA MAPANGO YA AMBONI TANGA

Na Kassim Nyaki, Amboni Tanga. Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro imeshiriki na kudhamini mbio za AmbonI Adventure run zilizofanyika leo tarehe 31 Januari 2026 jijini Tanga kwa lengo la kutangaza…

a24tv

SERIKALI SIHA YAUNDA TIMU KUSHUGHULIKIA KERO ZA MALISHO KWA WAFUGAJI.

Siha, Kilimanjaro Serikali ya Wilaya ya Siha imeunda timu maalum kushughulikia kero za wafugaji zinazohusiana na upatikanaji wa maeneo ya malisho katika eneo la Ranchi ya Taifa (NARCO) – West…

a24tv

HATMA YA MWEKEZAJI ARUSHA HATARINI BAADA YA BAJUTA KUFUNGA BARABARA YA KWENDA HOTELI KWAKE KWA MIEZI MIWILI , WAFANYAKAZI ZAIDI YA 30 WAKWAMA KUINGIA KAZINI

Na Geofrey Stephen . Arusha Mwekezaji mmoja raia wa Uturuki, aliyejitambulisha kwa jina la Ugo Karasi, mkazi wa mtaa wa Ngaramoti ya Chini, kata ya Olmoti, Arusha Vijijini, amelalamika mbele…

a24tv

YANGA NI POINT TATU TU LEO AMANI ZANZIBAR ! SIMBA NAE KUKIWASHA KESHO KWA MKAPA , MAGAZETI YA LEO JAN 31 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .

Karibu Arusha24tv leo Juma mosi ya tarehe 31 Jan Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                        Mwisho .........

a24tv

MADIWANI WAPYA SIHA WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO.

Na Bahati Siha . Madiwani wapya wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuendeleza juhudi za ukusanyaji wa mapato na kuibua vyanzo vipya, ili kudumisha na kuongeza kasi…

a24tv