YANGA NI POINT TATU TU LEO AMANI ZANZIBAR ! SIMBA NAE KUKIWASHA KESHO KWA MKAPA , MAGAZETI YA LEO JAN 31 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .
Karibu Arusha24tv leo Juma mosi ya tarehe 31 Jan Mwaka 2026 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .........
MADIWANI WAPYA SIHA WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO.
Na Bahati Siha . Madiwani wapya wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuendeleza juhudi za ukusanyaji wa mapato na kuibua vyanzo vipya, ili kudumisha na kuongeza kasi…
MBUNGE KANGI LUGOLA AFICHUA MAFISADI PAPA ? WANAJIFICHA KWENYE UCHAWA , MAGAZETI YA LEO JAN 30 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .
Ijumaa ya leo Jan 30 Mwaka 2026 karibu Arusha 24tv kutaza kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho......
NGORONGORO KUPATA NEEMA MPYA: WAZIRI KIJAJI AAGIZA ULINZI UIMARISHWE, UTALII WAPIGWA MSASA KUVUTIA DUNIA
Na Geofrey Stephen Arusha . Ngorongoro — moja ya maajabu ya asili ya dunia — inaelekea kuingia katika sura mpya ya uhifadhi na maendeleo ya utalii kufuatia maagizo mazito yaliyotolewa…
MBUNGE SHABIBY ATIKISA BUNGE ATAJA BADO MAFISADI NI WENGI ! MAGAZETI YA LEO JAN 29 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .
Karibu Arusha24tv leo Jan 29 Mwaka 2026 kutazama habari kubwa zilizo andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho..
AMCHOMA KUSU MKEWE KWA KUTUMIA ARVs, KWA KIFICHO? MAGAZETI YA LEO JAN 28 MWAJA 2026 NA ARUSHA24TV .
Juma Tano ya leo Jan28 Mwaka 2026 karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni a24tv. Mwisho.....g
SHEIKH AWAAASA VIONGOZI WA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI KUPAMBANA NA WAUZA DAWA ZA KULEVYA.
Viongozi wa ngazi za Kata, Vijiji na Vitongoji mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watu wanaojihusisha na uuzaji wa dawa za kulevya, ikiwemo bangi na mirungi, katika…
MAGEREZA WAKANA UJUMBE WA LISSU ! VYOO VYA SHULE HAVINA MAJI KWA MIAKA MINNE MAGAZETI YA LEO JAN 27 MWAKA 2026 NA ARUSHA24TV .
Jumanne ya leo Jan 27 Mwaka 2025 karibu Arusha 24tv kutazama habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.com Mwisho..
WAZIRI WA AFYA AAGIZA UJENZI WA GHOROFA KITUO CHA AFYA KALOLENI ARUSHA.
Na Geofrey Stephen Arusha . Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameagiza Halmashauri ya Jiji la Arusha kuanza rasmi ujenzi wa jengo la ghorofa katika Kituo cha Afya Kaloleni, ikiwa ni…
MEYA WA JIJI LA ARUSHA AZINDUA AWAMU YA TATU YA KAMPENI YA “NG’ARISHA JIJI” DARAJA II.
Arusha, Januari 24, 2026 — Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maxmillian Matle Iranqhe, amezindua rasmi awamu ya tatu ya kampeni ya usafi wa mazingira ijulikanayo kama “Ng’arisha Jiji”,…
