HOME MARKET, YAWAKARIBISHA WAKAZI WA ARUSHA KUJIPATIA MAHITAJI MUHIMU KUTOKA CHINA ,BEI NI SAWA NA BURE

Geofrey Stephen
1 Min Read

Habari njema kwa wakazi wa Arusha na vitongoji vyake!
Sasa kuna mahali pa kipekee pa kununulia bidhaa bora, za kisasa, na kwa bei nafuu kabisa!

? HOME MARKET!
Ndiyo, HOME MARKET Super Market ya kisasa, imejaa zaidi ya bidhaa 250 bora kutoka China!

 

Pata sofa za upepo (compressed sofa), office furniture, vifaa vya gym, vifaa vya ujenzi, vyombo vya kisasa vya majumbani, miswaki ya umeme, vifaa vya michezo ya watoto na bidhaa nyingine KIBAO!

? HOME MARKET ipo Barabara ya Nairobi, karibu na Triple A, ndani ya gorofa la Bilionea Laizer.

Ufunguzi rasmi ni tarehe 16 mwezi huu, ukija utapata punguzo la asilimia 20%, na zaidi ya hapo —
wateja 300 wa mwanzo watazawadiwa zawadi kabambe! ?

Lakini usisubiri siku hiyo tu… kwa sababu huduma tayari zinaendelea!
Kwa hiyo fika sasa — HOME MARKET, mahali bidhaa bora hukutana na bei nafuu zaidi!

Habari Picha 3377
Habari Picha 3378
Habari Picha 3375
Habari Picha 3376
Habari Picha 3372
Habari Picha 3373

 

Habari Picha 3371
Habari Picha 3370
Habari Picha 3369
Habari Picha 3366
Habari Picha 3367
Habari Picha 3368
Habari Picha 3379
Habari Picha 3380

Mwisho.

Share This Article
Leave a Comment