KAHAWA YA TANZANIA INA SOKO KUBWA ITALIA.

Geofrey Steven
1 Min Read

Na Richard Mrusha .

Balozi wa Tanzania nchini Italia,Mbarouk Nasoro Mbarouk ,amesema soko la kahawa nchini Italia linafaya vizuri kutokana waitalia wanapenda kuywa kahawa ya Tanzania

 

Balozi Mbarouk ameyasema hayo leo August 4,2026,wakati alipotembelea Banda la Bodi ya kahawa kwenye maonesho ya 49 ya wakulima Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja Vya Dkt,John S Malecela Dodoma .

 

Habari Picha 19746

 

“Waitaliano ni wapenzi wakahawa,wao kahawa ndio kila kitu kwao,watalii wakitaliano wanakuja hapa na wanaleta mafunzo hapa ili kitakachodharishwa hapa kiwe na ubora”Amesema Mbarouk.

 

Na kwa upande wake Mkurugenzi wa Maendeleo ya zao kutoka Bodi ya Kahawa,Kajilu kisenge, amesema wamepata fursa ya kutembelewa na Balozi wa Tanzania nchini Italia Mbarouk Nasoro Mbarouk wao kama Bodi ya kahawa wamafuraishwa na kauli ya balozi huyo kuwa wa Italia wanapenda kuywa kahawa ya Tanzani.

Habari Picha 19747

Mwidho..

Share This Article
Leave a Comment