YASMIN BACHU AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA OSUNYAI,AMNADI MGOMBEA NKO AMUOMBEA MAKONDA NA RAIS SAMIA KURA ZA KISHINDO
Mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Yasmin Bachu mapema leo amezindua kampeni za Mgombea wa CCM kata ya Osunyai Jijini Arusha huku akielezea…
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI KWA MGOMBEA DKT JOHANES LEMBULUNG LUKUMAY VIWANJA VYA NGARAMTONI
Matukio katika Picha za uzinduzi wa kampeni za ugombea ubunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi katika viwanja vya Soko la Ngaramtoni . Katika Uzinduzi huo Mgeni wa Eshma ni Makamu…
JAMHURI YAONDOA PINGAMIZI DHIDI YA MPINA ! MAGAZETI YA LEO. SEPT 4 MWAKA 2025 NA A24TV .COM
Karibu Arusha 24rv leo Sept 4 Mw kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
CHADEMA YATANGAZA MSIMAMO MZITO ! MAGAZETI YA LEO SEPT 3 MWAKA 2025 NA A24TV.COM
Karibu Arusha24tv leo Sept 3 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho.
Juma Jani mgombea udiwani Kata ya Sanya juu Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, azindua kampeni, kwa ahadi mbali mbali ikiwamo ujenzi wa soko la kisasa
Siha, Mgombea udiwani Kata ya Sanya juu Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro,kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Juma Jani,ameahidi kujenga Soko la Kisasa ili wafanya biashara waweze kufanya biashara zao katika mazingira…
MBIVU MBICHI MPINA KUWANIA URAIS KUJULIKANA LEO ! MAGAZETI YA LEO SEPT 2 MWAKA 2025 NA A24TV
Karibu Arusha24tv leo Sept 12 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
JOSHUA MBELE YA MAELFU YA WANANCHI WAKE MMI NI MBUNGE WA VITENDO SIYO WA POSHO ”
Wananchi wa Arumeru Mashariki Waonyesha Imani Kubwa kwa Joshua Nasari Wananchi wa Arumeru Mashariki wameonyesha imani kubwa kwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Joshua Nasari, mara baada…
Tani 27, 550 za ufuta zenye thamani ya bilioni 80 zimeuzwa
Na Mwandishi Wetu, Mtwara TANI 27,550 za ufuta zenye thamani ya sh bilioni 80 zimeuzwa na wakulima wa Mtwara, kupitia minada inayofanyika kwa kutumia mfumo wa Soko la Bidhaa Nchini…
Fanyeni kazi kwa bidii kulinda taswira ya TARURA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Wafanyakazi wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili waweze kulinda taswira nzuri ya Wakala huo.…
Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN
Afrika ijadili changamoto za Sekta ya utalii-UN Na Mwandishi Wetu- Zambia KATIBU Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism),Zurab Pololikashvili amezitaka nchi za Afrika kuzungumzia…
