MADIWANI HAI WATAKIWA KUZINGATIA KIAPO; WATUMISHI LEGELEGE WAPEWA ONYO.

Na Bahati Hai Kilimanjaro . Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, imetoa wito kwa madiwani wapya kuweka mkazo katika ukusanyaji wa mapato na kuimarisha utendaji ndani ya halmashauri, ili…

a24tv

VIONGOZI WA DINI NA WAZEE WA MILA WAUNGANA KUOMBEA AMANI JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI KWA NASARI NI BAADA YA VURUGU ZA UCHAGUZI.

  Na Geofrey Stephen Meru . Katika tukio lenye uzito wa kipekee, Askofu wa Kanisa la (AMEC) Wilaya ya Arumeru . Mkoani Arusha, akiungana na Mkuu wa Jimbo la Kati…

a24tv

POLISI YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO DEC 9 MAGAZETI YA LEO DEC 6 MWAKA 2024 NA ARUSHA24TV.

Juma Mosi ya leo Dec 6 Mwaka 2025 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                     Mwisho.

a24tv

MAENDELEO MAPYA ARUSHA: BARAZA JIPYA LA MADIWANI LAZINDULIWA KWA HAMASA NA MATUMAINI MAKUBWA YA MABADILIKO KWA WANACHI .

Zinduko la Baraza Jipya la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Arusha: Madiwani 34 Waanza Safari ya Kuleta Maendeleo kwa Uwajibikaji na Uadilifu Baraza Jipya la Madiwani wa Halmashauri ya…

a24tv

PINDA AAGIZA KUANZISHWA MFUMO MPYA WA KURATIBU TAFITI ZA KILIMO

Na Geofrey Stephen . ARUSHA Desemba 5, 2025 Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, ameiagiza serikali kuanzisha mfumo maalum wa ukusanyaji na uratibu wa tafiti za kilimo ili kuboresha uchambuzi na…

a24tv

Taasisi za dini zashauriwa kuwafundisha vijana stadi za kazi Na

Na  Queen Lema Arusha Taasisi za Dini zimeshauriwa kuhakikisha kuwa mbali na kuwalea vijana katika malezi ya kiimani wanatakiwa pia kuhakikisha wanawafundisha vijana stadi mbalimbali za kazi za mikono Jambo…

a24tv

BUTIKU ASEMA TAIFA LINAHITAJI UPONYAJI ! MAGAZETI YA LEO IJUMAA DEC 5 MWAKA 2025 NA ARUSHA25TV .

Karibu Arusha24tv leo Dec 5 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                       Mwisho.

a24tv

Serikali imekabidhi kiasi cha sh,1.2 bilion ujenzi wa kisasa soko la Masama mula.

Na bahati Hai, Serikali imekabidhi kiasi cha sh,1.2 bilion kwa ajili ya ujenzi wa Soko jipya la kisasa lilipo Masama mula Kata ya Masama mashariki Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Mradi…

a24tv

Watumishi wazembe halmshauri ya siha hawata vumiliwa

Na Bahati Siha. Diwani wa kata ya Halmashauri ya Karansi Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmshauri hiyo kwa kupata kura zote 22 na 1 ikiharibika kati…

a24tv

HALMASHAURI YA ARUSHA KUWANOA MADIWANI WAKE WASISITIZA BARAZA LA MAENDELEO KWA WANANCHI

MWENYEKITI Mpya wa Halmashauri ya Arusha Wilaya ya Arumeru, Baraka Simon, amewataka wananchi wa Halmashauri hiyo kutembea kifua mbele akisisitiza kuwa baraza jipya la madiwani limejipanga kuwaletea maendeleo ya kasi…

a24tv