Elimu ya Ufundi Ni Nguzo ya Maendeleo ya Taifa – VETA

Na Mwandishi Wetu   MBEYA: MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imesema ushiriki wake katika Maadhimisho ya Wiki ya Vijana ni hatua muhimu katika kuonesha mchango wake…

a24tv

Mashirika ya Kidini yaungane kuhamasisha vijana juu ya Afya ya Akili

Na Mwandishi Wetu MBEYA: KATIBU Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said, amezihimiza taasisi za dini, hususan vyuo vinavyomilikiwa au kuendeshwa na taasisi hizo,…

a24tv

KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWL NYERERE,KWA VITENDO! MAGAZETI YA LEO OCT 14 MWAKA 2025 NA A24TV

Juma Nne ya Leo Oct 14 Mwaka 2025 Karibu Arusha24tv Kutazama Kilicho Andikwa Katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .                          Mwisho.

Geofrey Stephen

Wagonjwa 472 Wapatiwa Huduma za Mifupa na Madaktari wa MOI, 40 Wapendekezwa Kutibiwa Dar es Salaam

wagonjwa 472, wengi wao wakiwa na matatizo ya afya yanayohusiana na mgongo na nyonga

a24tv

TUMESHUSHA MZIGO MKUBWA HAPA NYUMBANI HOME MARKET WAI SASA KUJIPATIA MAHITAJI YA NYUMBANI NA OFISINI .

Karibu Home Market iliopo Jengo la bilionea laizer Saninu mkabala na bara bara ya Sakina kujipatia maitaji muhimu na kwa bei poa zaidi Hizi ni bidhaa zinazo patikana home market…

Geofrey Stephen

MAUAJI ASKARI POLISI ARUSHA YASHTUA ALIPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI ! MAGAZETI YA LEO OCT 13 MWAKA 2025 NA A24TV .

Karibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo Oct 13 Mwaka 2024 katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv                             Mwisho.

Geofrey Stephen

VETA Yaendelea Kutoa Mafunzo ya Ufundi Kupitia Mfumo wa Kisasa wa VSOMO

Na Mwandishi Wetu, Mbeya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeendelea kutumia teknolojia ya kisasa kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa VSOMO, unaowawezesha wanafunzi…

a24tv

Serikali Yaweka Kipaumbele Katika Mikakati ya Kuwawezesha Vijana

Na Mwandishi Wetu, Mbeya   Serikali inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaendelea kutekeleza mikakati madhubuti ya kuhakikisha vijana wanapata fursa sawa za…

a24tv

WATUHUMIWA WATANO WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA ASKARI POLISI ARUSHA ALIKUA BAA YA SIMALOI NA MARAFIKI WAKIPATA KINYWAJI

Na Geofrey Stephen Arusha . Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya Askari Polisi, Omary Mnandi (30), aliyekuwa mkazi wa Jiji la Arusha.…

Geofrey Stephen

Majaliwa: Serikali Yazindua Programu Maalum ya Uanagenzi Kwa Ajili ya Vijana

Na Mwandishi Wetu   MBEYA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeanzisha programu maalum ya Uanagenzi kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, inayolenga kuwapatia vijana wa Kitanzania ujuzi wa kazi bila…

a24tv