Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mheshimiwa John Heche, amefika msibani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei katika eneo la Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha. Mh Heche amesema msiba huo ni wa wanachama wote wa CHADEMA na kutoa pole za dhati kwa familia ya marehemu.Ameeleza kuwa chama kiko pamoja na familia katika kipindi hiki kigumu na kitahakikisha Mzee Mtei anazikwa salama na kupewa heshima yake stahiki kama mmoja wa waasisi wa chama.
Mwisho .
Sign Up For Daily Newsletter
Be keep up! Get the latest breaking news delivered straight to your inbox.
[mc4wp_form]
By signing up, you agree to our Terms of Use and acknowledge the data practices in our Privacy Policy. You may unsubscribe at any time.