MVULI FARM LODGE – ARUSHA “USTAREHE WA KISASA KATIKATI YA UZURI TULIVU WA ASILI YA MLIMA MERU”

Geofrey Steven
2 Min Read
Karibu Mvuli Farm Lodge Arusha, hoteli ya kisasa iliyojengwa kwa mtindo wa kipekee ,utulivu na mazingira ya asili. Iko eneo la Kundayo Road, umbali mfupi tu kutoka katikati ya Jiji la Arusha, ikiwa ni sehemu bora kwa wageni wa ndani na nje ya nchi.
✨ VYUMBA VYA KISASA NA VYENYE USTAREHE.
Mvuli Farm Lodge inakupa vyumba vikubwa na safi vyenye:
Vitanda vya kisasa na starehe
Balcony yenye mandhari ya bustani na miti ya asili .
Bafu la kisasa (hot & cold shower)
TV, WiFi na huduma ya chumba (room service)
Amani ya kweli ya kupumzika.
 HUDUMA BORA ZA HOTELI.
Mgahawa wenye chakula cha Kitanzania na kimataifa
Kiamsha kinywa kitamu kila siku
Huduma ya mapokezi masaa 24
Sehemu ya mapumziko yenye bustani nzuri.
Bwawa la kuogelea 🏊‍♂️.
Huduma ya usafiri (airport transfer)
🌿 MAZINGIRA YA KIPEKEE
Bustani kubwa za kijani kibichi
Mto mdogo unaopita karibu na hoteli
Utulivu wa mashambani ukiwa ndani ya jiji.
Mandhari ya Mlima Meru 🌄
📍 ENEO.
Ipo karibu na Moshi–Arusha Highway, umbali wa takribani km 3 kutoka katikati ya jiji la Arusha – rahisi kufikika na salama.
💼 INAFAA KWA:
Watalii (tourists)
Familia
Mikutano ya biashara
Mapumziko ya wikendi (weekend getaway).
🌟 MVULI FARM LODGE – CHAGUA USTAREHE WA KISASA ARUSHA.
Mahali ambapo amani, asili na huduma bora hukutana.”

           0757848633 Mawasiliano zaidi .

Habari Picha 18873
Habari Picha 18874
Habari Picha 18876
Habari Picha 18877

 

Habari Picha 18887
Habari Picha 18888
Habari Picha 18889
Habari Picha 18890
Habari Picha 18891
Habari Picha 18892
Habari Picha 18894
Habari Picha 18900
Habari Picha 18901
Habari Picha 18903
Habari Picha 18904
Habari Picha 18905
Habari Picha 18906
Habari Picha 18907
Habari Picha 18908

Karibu sana wateja wetu.

Share This Article
Leave a Comment