SILINDE AKOSHWA NA BANDA LA MWEKEZAJI DATTIEKO KATIKA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANE ARUSHA WAKULIMA WAKARIBISHWA .

Geofrey Steven
1 Min Read
Naibu Waziri wa Kilimo, Davide Silinde, amepongeza uwekezaji wa DATTIEKO INVESTMENT katika Maonyesho ya Nane Nane jijini Arusha.
Akiitembelea banda la DATTIEKO INVESTMENT katika maonyesho hayo, Naibu Waziri alipata fursa ya kujionea teknolojia na vifaa mbalimbali vya kisasa vya umwagiliaji vinavyolenga kuongeza tija katika sekta ya kilimo. Alisisitiza kuwa matumizi ya teknolojia za kisasa ni nyenzo muhimu katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na kuongeza uzalishaji wa mazao nchini.

DATTIEKO INVESTMENT inaendelea kujikita katika utoaji wa suluhisho za mifumo ya umwagiliaji na teknolojia za kisasa za kilimo, kwa lengo la kuwawezesha wakulima kuongeza uzalishaji, kutumia rasilimali kwa ufanisi na kupata mavuno yenye tija.

Tunakukaribisha kutembelea banda letu katika Maonyesho ya Nane Nane au ofisi zetu ili upate ushauri wa kitaalamu kuhusu mifumo ya umwagiliaji na teknolojia za kisasa za kilimo.

Kwa mawasiliano:

0764888846

Pia tunapatikana kupitia Instagram, Facebook, na mitandao mingine ya kijamii.

info@dattieko.co.tz
www.dattieko.co.tz

 

DATTIEKO INVESTMENT – Suluhisho za kisasa kwa kilimo chenye tija.

Habari Picha 19665
Habari Picha 19667

 

Habari Picha 19666
Habari Picha 19669
Habari Picha 19667
Habari Picha 19666
Habari Picha 19673

Mwisho .

Share This Article
Leave a Comment