PBPA YASHIRIKI MAONESHO YA 50 SABASABA

Geofrey Steven
1 Min Read

Na Richard Mrusha.

Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa pamoja (PBPA) umeendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea katika Banda lao lililopo katika maonesho ya 50 ya biashara ya kimataifa Maarufu (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu Nyerere Jijini Dar es es salaam.

Kauli mbiu ya maonesho ya 50 ya biashara ya kimataifa ya sabasaba 2026
“Maonesho ya biashara ya kimataifa sabasaba fahari ya Tanzania.

Habari Picha 19078

Maonesho hayo yameanza Juni 28, 2026 na yanatarajia kuitimishwa Julai 13,2026 katika viwanja vya mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam.

Habari Picha 19079

Katika maonesho hayo Watumishi wa PBPA wameendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea Banda lao.

Habari Picha 19080

Mwisho.

Share This Article
Leave a Comment