NAMAYANA WANANCHI WAENDELEA KUPAMBANA NA UJENZI WA BARABARA HALMASHAURI OFISI YA DC MWINYI KUSAPORT UJENZI HUO

Geofrey Steven
0 Min Read
Wakazi wa kitongoni cha Namayana kata ya kiranyi Mkoani Arusha wamendelea na ujenzi wa Barabara kwa kuweka mitaro na kusafisha maeo korofi huku wakiomba nguvu kazi kubwa kwa Mkuu wa wilaya Mh Mwinyi pamoja na Mkurugenzi wa halmashauri ua Arusha Dc Sulemain Msumi kusaidia Vifusi na Creda katika Bara bara hiyo .
Habari Picha 18202
Habari Picha 18189
Habari Picha 18193
Habari Picha 18194
Habari Picha 18198
Habari Picha 18199
Habari Picha 18200
Habari Picha 18201

Mwishoo.

Share This Article
Leave a Comment