MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA JOHN HECHE AFIKA MSIBANI KWA MZEE MTEI NATOA POLE KWA FAMILIA MSIBA NI WETU WOTE

Geofrey Stephen
1 Min Read
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Mheshimiwa John Heche, amefika msibani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei katika eneo la Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha.
Mh Heche amesema msiba huo ni wa wanachama wote wa CHADEMA na kutoa pole za dhati kwa familia ya marehemu.
Ameeleza kuwa chama kiko pamoja na familia katika kipindi hiki kigumu na kitahakikisha Mzee Mtei anazikwa salama na kupewa heshima yake stahiki kama mmoja wa waasisi wa chama.
Habari Picha 6328
Habari Picha 6329


Habari Picha 6332
Habari Picha 6333

 

Habari Picha 6335
Habari Picha 6336
Habari Picha 6337
Habari Picha 6338
Habari Picha 6339
Habari Picha 6340
Habari Picha 6341

Mwisho .


Share This Article
Leave a Comment