- Quick Links
- Technology
- Business
- Science
- Covid-19 Statistics
Na Mwandishi Wetu, Mtwara TANI 27,550 za ufuta zenye thamani ya sh bilioni 80 zimeuzwa na wakulima wa Mtwara, kupitia minada inayofanyika kwa kutumia mfumo wa Soko la Bidhaa Nchini (TMX). Ofisa usimamizi wa Fedha kutoka TMX Prince Philimon amesema hayo wakati akizungumza na Mwandishi wa habari hii, kuhusu maendeleo ya minada ya ufuta ambayo inafanyika Mkoani hapa. Philimon amesema…
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Wafanyakazi wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili waweze kulinda taswira nzuri ya Wakala huo. Rai hiyo imetolewa na Mtendaji Mkuu wa TARURA. Victor Seff wakati akizungumza na watumishi wa TARURA mkoa wa Kigoma wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani hapa. Seff amesema kufanya…
Afrika ijadili changamoto za Sekta ya utalii-UN Na Mwandishi Wetu- Zambia KATIBU Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism),Zurab Pololikashvili amezitaka nchi za Afrika kuzungumzia mustakabali wa Sekta ya utalii na kujadili changamoto mbalimbali, Ikiwemo ya usafiri wa anga kuwezesha watalii kufika katika maeneo ya utalii na kuweka mikakati ya kukuza na kutangaza utalii wa…
Na Lucy Ngowi CHAMA cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU), kinapigania Mkataba…
⇑Na Lucy Ngowi CHAMA cha Mabaharia Tanzania (TASU), kinaiomba serikali inunue au…
Na Mwandishi Wetu Wapiga kura waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga…
Lucy Lyatuu PWANI: SERIKALI imesema kongani ya viwanda ya SINO TAN iliyopo…
Na Lucy Ngowi WIKI ya kudhibiti bidhaa bandia duniani hapa nchini yanaadhimishwa…
Na Lucy Ngowi KANISA la Watakatifu wa Siku za Mwisho limekabidhi jengo…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema katika…
Confirmed
65.10M
Death
6.60M
Modern technology has become a total phenomenon for civilization, the defining force of a new social order in which efficiency is no longer an option but a necessity imposed on all human…
Na Mwandishi Wetu Wapiga kura waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wataweza kutumia simu zao ndogo za mkononi jina maarufu vitochi ama viswaswadu kuanzisha mchakato wa kuboresha au…
Sign in to your account