Dada wa kazi aliyejeruhi akamatwa

Na Lucy Lyatuu JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam  limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa  aliyekuwa mfanyakazi wa  ndani aitwaye Clemensia Cosmas Mirembe (19) akiwa amejificha kwenye "pagala” maeneo ya…

a24tv

Sheria ya ajira, mahusiano kazini ipitiwe upya

Na Lucy Ngowi SHERIA ya Ajira na Mahusiano Kazini imekuwa ikichanganya watumishi,hali inayosababisha ucheleweshaji wa kumaliza migogoro ya wafanyakazi. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU),…

a24tv

Uwepo mwongozo kupima wagonjwa zaidi

Na Lucy Lyatuu MTAFITI kutoka Chuo Kikuu Cha Afya na  Sayansi Shirikishi  cha Muhimbili (MUHAS) Dk Pendo Ibrahim ameshauri kuwepo muongozo  wenye kuwezesha daktari kuchukua hatua za vipimo zaidi pindi…

a24tv

Tanzania,  na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Bioventure for Global Health (BVGH) ya nchini Marekani ili kuimarisha huduma za Saratani nchini Tanzania. Makubaliano hayo…

a24tv

TASU yaiomba serikali inunue meli kutoa ajira kwa mabaharia

Na Lucy Ngowi CHAMA cha Mabaharia Tanzania (TASU), kinaiomba serikali inunue au kutengeneza meli hata moja kwa ajili ya mizigo nje ya nchi na kuileta Tanzania ili vijana wanaomaliza vyuo…

a24tv

TASU yaiomba serikali inunue kutoa ajira kwa mabaharia

⇑Na Lucy Ngowi CHAMA cha Mabaharia Tanzania (TASU), kinaiomba serikali inunue au kutengeneza meli hata moja kwa ajili ya mizigo nje ya nchi na kuileta Tanzania ili vijana wanaomaliza vyuo…

a24tv

‘Viswaswadu’ kutumika kuboresha daftari la wapiga kura

Na Mwandishi Wetu Wapiga kura waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wataweza kutumia simu zao ndogo za mkononi jina maarufu vitochi ama viswaswadu kuanzisha mchakato wa kuboresha au…

a24tv

Kongani za viwanda kutoa ajira nchini.

Lucy Lyatuu PWANI: SERIKALI imesema kongani ya viwanda ya SINO TAN iliyopo eneo la Kwala.mkoa wa Pwani inatarajiwa kujenga viwanda mbalimbali  vipatavyo 600 na kutoa ajira kwa Watanzania zaidi ya…

a24tv

Kanisa lakabidhi jengo la watoto la milioni 595 kwa serikali

Na Lucy Ngowi KANISA la Watakatifu wa Siku za Mwisho limekabidhi jengo lenye thamani ya sh milioni 595 la kuhudumia watoto lililopo Kituo cha Afya Kimara kwa Wilaya ya Ubungo…

a24tv