Kadi za mpiga kura zenye jina la zamani la Tume ni halali
Na Mwandishi Wetu Kadi za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina la Tume ya Uchaguzi…
Dada wa kazi aliyejeruhi akamatwa
Na Lucy Lyatuu JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyekuwa mfanyakazi wa ndani aitwaye Clemensia Cosmas Mirembe (19) akiwa amejificha kwenye "pagala” maeneo ya…
Sheria ya ajira, mahusiano kazini ipitiwe upya
Na Lucy Ngowi SHERIA ya Ajira na Mahusiano Kazini imekuwa ikichanganya watumishi,hali inayosababisha ucheleweshaji wa kumaliza migogoro ya wafanyakazi. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU),…
Uwepo mwongozo kupima wagonjwa zaidi
Na Lucy Lyatuu MTAFITI kutoka Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) Dk Pendo Ibrahim ameshauri kuwepo muongozo wenye kuwezesha daktari kuchukua hatua za vipimo zaidi pindi…
Tanzania, na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Bioventure for Global Health (BVGH) ya nchini Marekani ili kuimarisha huduma za Saratani nchini Tanzania. Makubaliano hayo…
TASU yaiomba serikali inunue meli kutoa ajira kwa mabaharia
Na Lucy Ngowi CHAMA cha Mabaharia Tanzania (TASU), kinaiomba serikali inunue au kutengeneza meli hata moja kwa ajili ya mizigo nje ya nchi na kuileta Tanzania ili vijana wanaomaliza vyuo…
TASU yaiomba serikali inunue kutoa ajira kwa mabaharia
⇑Na Lucy Ngowi CHAMA cha Mabaharia Tanzania (TASU), kinaiomba serikali inunue au kutengeneza meli hata moja kwa ajili ya mizigo nje ya nchi na kuileta Tanzania ili vijana wanaomaliza vyuo…
‘Viswaswadu’ kutumika kuboresha daftari la wapiga kura
Na Mwandishi Wetu Wapiga kura waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wataweza kutumia simu zao ndogo za mkononi jina maarufu vitochi ama viswaswadu kuanzisha mchakato wa kuboresha au…
Kongani za viwanda kutoa ajira nchini.
Lucy Lyatuu PWANI: SERIKALI imesema kongani ya viwanda ya SINO TAN iliyopo eneo la Kwala.mkoa wa Pwani inatarajiwa kujenga viwanda mbalimbali vipatavyo 600 na kutoa ajira kwa Watanzania zaidi ya…
