MSISITIZO MKUBWA WANANCHI MBAKI NYUMBANI , MAGAZETI YA LEO DEC 9 MWAKA 2025 NA ARUSHA24TV

Karibu Arusha24tv leo Dec 9 mwaka 2025 kutazama habari kubwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                               Mwisho .

Geofrey Stephen

BOSI WA TAMESA YAMKUTA ASIMAMISHWA KAZI NA WAZIRI ULEGA MAGAZETI YA LEO DEC 8 MWAKA 2024 NA ARUSHA24TV

Karibu Arusha 24tv leo Dec 8 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .                              Mwisho.

Geofrey Stephen

MADIWANI HAI WATAKIWA KUZINGATIA KIAPO; WATUMISHI LEGELEGE WAPEWA ONYO.

Na Bahati Hai Kilimanjaro . Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, imetoa wito kwa madiwani wapya kuweka mkazo katika ukusanyaji wa mapato na kuimarisha utendaji ndani ya halmashauri, ili…

Geofrey Stephen

VIONGOZI WA DINI NA WAZEE WA MILA WAUNGANA KUOMBEA AMANI JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI KWA NASARI NI BAADA YA VURUGU ZA UCHAGUZI.

  Na Geofrey Stephen Meru . Katika tukio lenye uzito wa kipekee, Askofu wa Kanisa la (AMEC) Wilaya ya Arumeru . Mkoani Arusha, akiungana na Mkuu wa Jimbo la Kati…

Geofrey Stephen

POLISI YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO DEC 9 MAGAZETI YA LEO DEC 6 MWAKA 2024 NA ARUSHA24TV.

Juma Mosi ya leo Dec 6 Mwaka 2025 karibu Arusha 24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                     Mwisho.

Geofrey Stephen

MAENDELEO MAPYA ARUSHA: BARAZA JIPYA LA MADIWANI LAZINDULIWA KWA HAMASA NA MATUMAINI MAKUBWA YA MABADILIKO KWA WANACHI .

Zinduko la Baraza Jipya la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Arusha: Madiwani 34 Waanza Safari ya Kuleta Maendeleo kwa Uwajibikaji na Uadilifu Baraza Jipya la Madiwani wa Halmashauri ya…

Geofrey Stephen

PINDA AAGIZA KUANZISHWA MFUMO MPYA WA KURATIBU TAFITI ZA KILIMO

Na Geofrey Stephen . ARUSHA Desemba 5, 2025 Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, ameiagiza serikali kuanzisha mfumo maalum wa ukusanyaji na uratibu wa tafiti za kilimo ili kuboresha uchambuzi na…

Geofrey Stephen

Taasisi za dini zashauriwa kuwafundisha vijana stadi za kazi Na

Na  Queen Lema Arusha Taasisi za Dini zimeshauriwa kuhakikisha kuwa mbali na kuwalea vijana katika malezi ya kiimani wanatakiwa pia kuhakikisha wanawafundisha vijana stadi mbalimbali za kazi za mikono Jambo…

Geofrey Stephen

BUTIKU ASEMA TAIFA LINAHITAJI UPONYAJI ! MAGAZETI YA LEO IJUMAA DEC 5 MWAKA 2025 NA ARUSHA25TV .

Karibu Arusha24tv leo Dec 5 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                       Mwisho.

Geofrey Stephen

Serikali imekabidhi kiasi cha sh,1.2 bilion ujenzi wa kisasa soko la Masama mula.

Na bahati Hai, Serikali imekabidhi kiasi cha sh,1.2 bilion kwa ajili ya ujenzi wa Soko jipya la kisasa lilipo Masama mula Kata ya Masama mashariki Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Mradi…

Geofrey Stephen