KENYA NI SIMANZI NA MAJONZI NGULI WA SIASA RAILA AKIAGWA ! MAGAZETI YA LEO OCT 17 MWAKA 2025 NA ARUSHA24TV .
Ijumaa ya leo Oct 17 Mwaka 2025 Karibu Arusha24tv Kutazama Kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
HAPPY SAUSAGES BIDHAA YENYE BORA MVUTO WA AINA YAKE SASA INAPATIKANA NDANI YA HOME MARKET KWA BEI NAFUU , WATEJA WAGOMBANIA
Sausages ya kampuni ya happy Sausage ya Jijini Arusha imepiga hodi ndani ya Home Market ambapo wateja wake sasa nao wanapata fursa ya kujipatia manunuzi za Sausage hizo kwa Bei…
TUNAENDELEA NA PUNGUZO KUBWA LA DISCOUNT WAI SASA UJIPATIE MAHITAJI YA NYUMBANI TUMESHUSHA BEI KWA ASILIA 20%
Habari za leo ndugu wateja wetu wa Home Market leo ndio ile siku kubwa na muhimu kwenu kufurahiya Discount kubwa ya asilimia 20% wai sasa location ni pale pale bara…
TANZANIA YATOA POLE KWA MSIBA WA MWANASISA RAILA ODINGA , MAGAZETI YA LEO OCT 16 MWAKA 2025 NA ARUSHA24TV
Karibu Arusha24tv leo October 16 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyum hii ni A24tv . Mwisho .
ALIYEDONOLEWA NA KUKU NA KUFARIKI DUNIA AZIKWA MAMIA WAMLILIA WENGINE WAZIMIA ! MAGAZETI YA LEO OCT 15 MWAKA 2025 NA A24TV .
Karibu Arusha 24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania leo Oct 15 Mwaka 2025 Mbele na Nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
TUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU KWA WINGI – NYARI
Na Mwandishi wetu, Mirerani MKURUGENZI wa Glisten Pre & Primary school iliyopo mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Justin Nyari ameisihi jamii kushiriki kwa wingi uchaguzi mkuu unaotarajia…
Majaliwa: Serikali Yaweka Mikakati Madhubuti Kukabiliana na Maafa
Na Mwandishi Wetu MBEYA: WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga kikamilifu kuimarisha uwezo wa taifa kukabiliana na maafa kwa kutekeleza sera, sheria na miradi ya kimkakati inayolenga kulinda maisha ya wananchi,…
VETA Yaongeza Mkazo Katika Mafunzo Yanayolingana na Mabadiliko ya Teknolojia ya Kisasa
Na Mwandishi Wetu MBEYA: MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amesema taasisi hiyo imejipanga kuboresha mfumo wa mafunzo ili kuhakikisha Watanzania…
Elimu ya Ufundi Ni Nguzo ya Maendeleo ya Taifa – VETA
Na Mwandishi Wetu MBEYA: MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imesema ushiriki wake katika Maadhimisho ya Wiki ya Vijana ni hatua muhimu katika kuonesha mchango wake…
Mashirika ya Kidini yaungane kuhamasisha vijana juu ya Afya ya Akili
Na Mwandishi Wetu MBEYA: KATIBU Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said, amezihimiza taasisi za dini, hususan vyuo vinavyomilikiwa au kuendeshwa na taasisi hizo,…
