Majaliwa: Hakikisheni Mnaungana na NHIF Ili Kufurahia Huduma Bora za Afya

Majaliwa Atoa Wito kwa Watanzania Kujiunga na NHIF Ili Kununua Huduma Bora za Afya Na Mwandishi Wetu MBEYA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga kutoa elimu kwa wananchi kuhusu…

a24tv

HOME MARKET, YAWAKARIBISHA WAKAZI WA ARUSHA KUJIPATIA MAHITAJI MUHIMU KUTOKA CHINA ,BEI NI SAWA NA BURE

Habari njema kwa wakazi wa Arusha na vitongoji vyake! Sasa kuna mahali pa kipekee pa kununulia bidhaa bora, za kisasa, na kwa bei nafuu kabisa! 🌟 HOME MARKET! Ndiyo, HOME…

Geofrey Stephen

VETA Yatoa Mafunzo ya Ufundi Kwa Vijana Wenye Mahitaji Maalum ili Kung’aa Zaidi

Na Mwandishi wetu MBEYA: Balozi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika Kitengo cha Watu Wenye Mahitaji Maalum, Francis Anthony, amesema anachukia kuona wenye mahitaji maalum…

a24tv

WAKILI PETER KIBATALA AONGOZA FAMILIA YA POLEPOLE MAHAKAMANI, KUJUA ALIPO POLEPOLE ! MAGAZETI YA LEO OCT 9 MWAKA 2025 NA A24TV

Ijumaa ya leo Oct 10 Mwaka 2025 karibu kutazama habari kubwa zilizo Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                               Mwisho .

Geofrey Stephen

KIGOGO WA POLISI WATOANA JASHO NA LISSU MAHAKAMANI MAGAZETI YA LEO OCT 9 MWAKA 2025 NA A24TV.

Karibu Arusha24tv leo Oct 9 Kutazama kilicho Andikwa Katika Magazeti ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni A24tv.                       Mwisho.

Geofrey Stephen

MGOMBEA UBUNGE WA CHAMA CHAMA CHA CUF JIMBO LA SIHA AFARIKI DUNIA KWA KIPIGO CHA WANANCHI KAMANDA ADHIBITISHA .

Na Mwandishi wa A24tv Siha . Kamanda wa polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo amesema limetokea jana usiku, Oktoba 7, 2025 katika Kijiji cha…

Geofrey Stephen

MAMA MZAZI WA POLEPOLE ALIA KWA UCHUNGU KUHUSU MWANAE ! MAGAZETI YA LEO OCT 8 MWAKA 2025 NA A24TV .

Karibu Arusha 24tv leo Oct 8 Mwwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                            Mwisho.

Geofrey Stephen

SINTOFAHAMU KUHUSU POLEPOLE “KUTEKWA” ! MAGAZETI YA LEO OCT 7 MWAKA 2024 NA A24TV .

Juma nne ya leo  Oct 7 karibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv.                         t⁴    Mwisho.

Geofrey Stephen

MASHAHIDI 30 KESI YA LISU IKIENDELEA MAHAKA KUU LEO MAGAZETI YA LEO OCT 6 MWAKA 2025 NA A24TV .

Juma tatu ya leo Oct 6 Mwaka 2025 karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv .   4                            Mwisho.

Geofrey Stephen

ARUSHA YAADHIMISHA WIKI YA ELIMU YA WATU WAZIMA NJE YA MFUMO RASMI!

Na Geofrey Stephen . MAADHIMISHO ya Wiki ya Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo RASMI yamefanyika leo katika viwanja vya Shule ya Msingi Levolosi, Wilaya ya Arusha…

Geofrey Stephen