MBIVU MBICHI MPINA KUWANIA URAIS KUJULIKANA LEO ! MAGAZETI YA LEO SEPT 2 MWAKA 2025 NA A24TV
Karibu Arusha24tv leo Sept 12 Mwaka 2025 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
JOSHUA MBELE YA MAELFU YA WANANCHI WAKE MMI NI MBUNGE WA VITENDO SIYO WA POSHO ”
Wananchi wa Arumeru Mashariki Waonyesha Imani Kubwa kwa Joshua Nasari Wananchi wa Arumeru Mashariki wameonyesha imani kubwa kwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Joshua Nasari, mara baada…
Fanyeni kazi kwa bidii kulinda taswira ya TARURA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Wafanyakazi wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili waweze kulinda taswira nzuri ya Wakala huo.…
Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN
Afrika ijadili changamoto za Sekta ya utalii-UN Na Mwandishi Wetu- Zambia KATIBU Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism),Zurab Pololikashvili amezitaka nchi za Afrika kuzungumzia…
Kadi za mpiga kura zenye jina la zamani la Tume ni halali
Na Mwandishi Wetu Kadi za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina la Tume ya Uchaguzi…
Dada wa kazi aliyejeruhi akamatwa
Na Lucy Lyatuu JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyekuwa mfanyakazi wa ndani aitwaye Clemensia Cosmas Mirembe (19) akiwa amejificha kwenye "pagala” maeneo ya…
Sheria ya ajira, mahusiano kazini ipitiwe upya
Na Lucy Ngowi SHERIA ya Ajira na Mahusiano Kazini imekuwa ikichanganya watumishi,hali inayosababisha ucheleweshaji wa kumaliza migogoro ya wafanyakazi. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU),…
TRAWU yapigania mkataba hali bora za kazi miaka 11 sasa
Na Lucy Ngowi CHAMA cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU), kinapigania Mkataba wa Hali Bora za Kazi kwa Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), kwa miaka 11 sasa. Naibu…
Tanzania, na Taasisi ya BVGH kuimarisha huduma za saratani
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Bioventure for Global Health (BVGH) ya nchini Marekani ili kuimarisha huduma za Saratani nchini Tanzania. Makubaliano hayo…
TASU yaiomba serikali inunue meli kutoa ajira kwa mabaharia
Na Lucy Ngowi CHAMA cha Mabaharia Tanzania (TASU), kinaiomba serikali inunue au kutengeneza meli hata moja kwa ajili ya mizigo nje ya nchi na kuileta Tanzania ili vijana wanaomaliza vyuo…