Leo Juma pili ya Sikuu ya Mimaeli na Watoto Usharika wa Salei / Levolosi wamesherekea Sikukuu ya Miakaeli na Watoto na Msaidi wa Askofu Mchungaji Lareton Loisheye ambaye amesisitiza watoto ni kanisa la baadae hivyo wazazi wajitoe kuwatunza vyema kanisa la baadae