KARIBU BYPASS ARUSHA STOP,OVER – LADHA YA KIPEKEE, HUDUMA BORA NA UKARIMU WA HALI YA JUU

Geofrey Steven
1 Min Read

8Mkurugenzi na Miliki wa Bar za Africana na Arusha Live na Bar Mpya ya Kisasa ya BYPASS STOP,OVER ARUSHA Awakaribisha wateja kutoka maeneo mbali mbali .Karibu sana.

Habari Picha 18742

Bypass Arusha, sehemu nzuri yenye mazingira mazuri kwa mapumziko, chakula na huduma bora. Tunawakaribisha wageni wote kufurahia huduma zetu zenye ubora na ukarimu wa hali ya juu.

Habari Picha 18744

Tunapatikana eneo la Bypass Arusha, karibu na huduma mbalimbali na tukiwa na mazingira rafiki kwa familia, marafiki na wasafiri.
Tunatoa huduma mbalimbali ikiwemo:
🐐 Mbuzi choma mwenye ladha ya kipekee
🐟 Samaki wa kuchoma na vyakula vingine vitamu.

Habari Picha 18749
Habari Picha 18748
Habari Picha 18746
Habari Picha 18747

🥤 Vinywaji vya aina mbalimbali
🍽️ Huduma nzuri ya chakula na mapokezi ya wageni.

Habari Picha 18751
Habari Picha 18752
Habari Picha 18753
Habari Picha 18754

Mwisho.

Share This Article
Leave a Comment