
Mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Yasmin Bachu mapema leo amezindua kampeni za Mgombea wa CCM kata ya Osunyai Jijini Arusha huku akielezea mafanikio makubwa yaliofanywa na Serikali ya awamu ya Sita ya Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan.








Bachu amefafanua kwamba Serikali imefanya mambo mengi sana hususani katika Afya Elimu na Miundo mbinu ya Bara bara ikiwemo katika kata ya Osunyai Jijini Arusha hivyo wananchi wana sababu ya kuchagua Mafiga matatu akiwemo Diwani Mbunge pamoja na Mh Rais tena kwa kura nyingi .
Kwa upande wake Mgombea udiwani Elirehema Nko amebainisha vipaombele vyake huku akitamba kwamba yeye ni jembe ambalo linapenda maendeleo .ELIMU YA MSINGI
Kuendeleza ujenzi katika madarasa mapya mi Osunyai na kuhakikisha tunapata madawati ya kutosha Kuweka mazingira Rafiki kwa wazazi
kuchangia kwa hiari katika elimu kuongeza
ufaulu zaidi kuhakikisha wafunzi wanapata muda wa michezo kuimarisha afya zao kila wiki angalau mara mbili.

ELIMU YA SEKONDARY
Kuomba fedha kwenye bajeti ya 2026 na 2027 ya kujenga jengo la utawala secondary ya sombetini iliyopo kwenye kata yangu.
uhakikisha majengo yaliyopo sombetini
secondary yanakarabatiwa angalau kuweka
muonekano mzuri wa kimazingira.
UPAMBANA NA UMASKINI
Pamoja na mafanikio makubwa ambayo
yamepatikana toka tupate uhuru katika jiji
letu na kata yetu ambayo kwa sasa ina umri
wa miaka kumi hivi tutahakikisha wananchi ınawahimiza kufanya shughuli mbalimbali.



kuwaletea kipato,Vile vile kupatiwa TASAF kwa wale ambao wanastahili kwa kupitisha majina yao kwenye vikao mbalimbali.Kuwapatia elimu jinsi ya kuomba mikopo isiyo na riba ya jiji la Arusha .mikopo hii inawahusu,
wanawake Vijana na wenye ulemavu.
Mikopo hii itatolewa kwa uwiano kila mtaa
upate kikundi kinachopewa mkopo kwa
uwazi kulingana na mahitaji ya kikanuni na
kisheria,.
AFYA YA JAMII NA MATIBABU
kipindi cha 2025 hadi 20230 tutaomba bajeti ya kujenga uzio wa Zahanati yetu kuweka usalama wa wagonjwa na salama zaisi.
Kuomba daktarin wa wili aidi au watumishi zaidi Zahanati yetu ya Sombetini iliyopo osunyai ifanye kazi masaa ishirini nan ne badala ya kutwa.
Kuhakikisha zahanati yetu inapati wa heshima ya kituo cha afya ili kuwezankutoa huduma zaidi ya hapa ilipo sasa.
KUZUIA RUSHWA usean Kamati ya Maendeleo ya kata itasimamia maadili na kuhakikisha kuwa hakuna ou wananchi wananyanyaswa katika kupewa huduma Uongozi wetu ambao unawekwa wananchi kwa njia ya kidemokrasia Maisha wananchi wetu yataangaliwa zail kwenye huduma katika uongozi wa CCM ndani ya kata yetu.
Eidha amejibu hoja ya mwanainchi aliyeuliza kuhusu suala la miundombinu ya maji taka yanayosumbua katika kata hiyo na akiahidi utekelezaji akisgirikiana na wananchi katika awamu ijayo endapo wananchi hao watampa ridhaa ya kuwa Diwani wao.
Mwisho