Matukio katika Picha za uzinduzi wa kampeni za ugombea ubunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi katika viwanja vya Soko la Ngaramtoni .
Katika Uzinduzi huo Mgeni wa Eshma ni Makamu Mwenyekiti wa Ccm Taifa Stephen Wasira ambapo amesesisitiza wanachama kupiga kura za ndio kwa Mh Rais wabunge na Madiwani kwa wingi .












Mwisho .