Leo Tarehe 28 Sept 2025 Watoto waKKKT Usharika wa Salei / Levolosi wamesherekea Sikukuu ya Mikaeli na Watoto na Msaidi wa Askofu Mchungaji Lareton Loisheye ambaye amesisitiza watoto ni kanisa la baadae hivyo wazazi wajitoe kuwatunza vyema kanisa la baadae.

































Mwisho

