UTANGULIZI WA UZINDUZI MKUBWA WA BLACK DIAMOND LOUNGE ARUSHA KUSIMAMISHA JIJI

Geofrey Steven
2 Min Read

TANGAZO MAALUM – BLACK DIAMOND LOUGE πŸ“’.

Tunayo furaha kubwa kuwajulisha wananchi kwamba Black Diamond Lounge, iliyopo makao mapya mkabala na standi ya Marangu Coach, imefanikiwa kuajiri zaidi ya wafanyakazi 50 katika nafasi mbalimbali.

Habari Picha 21449

Wafanyakazi wote wapya wamepatiwa utambulisho na maelekezo maalum mbele ya uongozi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuhakikisha tunatoa huduma bora, za kisasa na za kiwango cha juu kwa wateja wetu.

Habari Picha 21439
Habari Picha 21440
Habari Picha 21441

πŸŽ‰ SASA NI WAKATI WA UZINDUZI!

Tunawaalika wateja wetu wote kwenye uzinduzi mkubwa utakaofanyika Ijumaa, tarehe 2 Oktoba, pamoja na wiki nzima ya burudani.

MBUZI CHOMA , BURE NA NYAMA CHOMA BURE! BUREEEEEEEEEEEEEE.

🎁 SURPRISE KIBAO BURE!

πŸ”₯ Kutakuwa na: 🎢 Muziki na burudani mbalimbali.

🎧 Ma-DJ kutoka Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza na Arusha.

🍽️ Chakula na huduma bora
🍹 Bar ya kisasa
πŸ“Ά Free Wi-Fi

Habari Picha 21450
Habari Picha 21451

Wahudumu walioandaliwa kutoa huduma bora
πŸŽ‰ Burudani kwa wageni wetu wote
Ajira hizi mpya ni sehemu ya maandalizi yetu ya kuhakikisha kila mgeni anayefika Black Diamond Lounge anapokelewa vizuri na kupata huduma inayostahili.

Habari Picha 21442
Habari Picha 21443
Habari Picha 21444

Kwa wafanyakazi wetu wapya, hii ni nafasi ya kuonyesha uwezo, bidii na kutoa huduma kwa kiwango cha juu.

Black Diamond LoungeΒ  inawakaribisha wote!
Njoo tusherehekee pamoja uzinduzi huu mkubwa, tufurahie burudani, chakula, vinywaji na huduma bora.

πŸ“ Black Diamond Lounge – Makao Mapya, mkabala na Marangu Coach Stand.

Habari Picha 21456
Habari Picha 21454

πŸ”₯ Black Diamond Lounge – Ajira Mpya, Huduma Mpya, Burudani Mpya!
Karibuni sana!.

Habari Picha 21445
Habari Picha 21446
Habari Picha 21447

Wote mnakaribishwa hiii sio ya kukosa

Share This Article
Leave a Comment