TANGAZO MAALUM β BLACK DIAMOND LOUGE π’.
Tunayo furaha kubwa kuwajulisha wananchi kwamba Black Diamond Lounge, iliyopo makao mapya mkabala na standi ya Marangu Coach, imefanikiwa kuajiri zaidi ya wafanyakazi 50 katika nafasi mbalimbali.

Wafanyakazi wote wapya wamepatiwa utambulisho na maelekezo maalum mbele ya uongozi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuhakikisha tunatoa huduma bora, za kisasa na za kiwango cha juu kwa wateja wetu.



π SASA NI WAKATI WA UZINDUZI!
Tunawaalika wateja wetu wote kwenye uzinduzi mkubwa utakaofanyika Ijumaa, tarehe 2 Oktoba, pamoja na wiki nzima ya burudani.
MBUZI CHOMA , BURE NA NYAMA CHOMA BURE! BUREEEEEEEEEEEEEE.
π SURPRISE KIBAO BURE!
π₯ Kutakuwa na: πΆ Muziki na burudani mbalimbali.
π§ Ma-DJ kutoka Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza na Arusha.
π½οΈ Chakula na huduma bora
πΉ Bar ya kisasa
πΆ Free Wi-Fi


Wahudumu walioandaliwa kutoa huduma bora
π Burudani kwa wageni wetu wote
Ajira hizi mpya ni sehemu ya maandalizi yetu ya kuhakikisha kila mgeni anayefika Black Diamond Lounge anapokelewa vizuri na kupata huduma inayostahili.



Kwa wafanyakazi wetu wapya, hii ni nafasi ya kuonyesha uwezo, bidii na kutoa huduma kwa kiwango cha juu.
Black Diamond LoungeΒ inawakaribisha wote!
Njoo tusherehekee pamoja uzinduzi huu mkubwa, tufurahie burudani, chakula, vinywaji na huduma bora.
π Black Diamond Lounge β Makao Mapya, mkabala na Marangu Coach Stand.


π₯ Black Diamond Lounge β Ajira Mpya, Huduma Mpya, Burudani Mpya!
Karibuni sana!.



Wote mnakaribishwa hiii sio ya kukosa
