Karibu Shibam Maisha Sanctuary, iliyopo Naberera, Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara.
Hapa ndipo unapokutana na mandhari ya kuvutia ya kisasa, utulivu wa kipekee na mazingira mazuri ya kupumzika. Lakini cha kushangaza zaidi, Shibam Maisha Sanctuary si CAMP ya kawaida!
🏕️ Ni sehemu ya mapumziko yenye muonekano wa kisasa na huduma bora.
🏥 Pia ni kituo kinachotoa huduma za matibabu kwa kutumia mashine na teknolojia za kisasa, kwa lengo la kuwapatia watu huduma za afya kwa ubora na ufanisi.
🌟 Shibam Maisha Sanctuary – Mahali ambapo mapumziko ya kisasa yanakutana na huduma za kisasa za afya!
Usiangalie tu muonekano wake, fahamu pia huduma zinazopatikana ndani yake.
📍 Mahali: Naberera, Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara.
SHIBAM MAISHА SANCTUARY – ZAIDI YA UNAVYODHANI, NI UZOEFU WA KIPEKEE! ❤️
#ShibamMaishaSanctuary #Naberera #Simanjiro #Manyara #UtaliiWaNdani #HudumaZaAfya
































