GOLDEN TOUCHTOUCH CAR WASH ARUSHA,CAR WASH YA KISASA NA YA KIPEKEE ZAIDI ARUSHA NZIMA! 🚘πŸ”₯

Geofrey Steven
2 Min Read

Usafi wa Kisasa, Muonekano wa Kipekee!
Karibu kwenye Golden Touch Car Wash Arusha, car wash ya kisasa inayopatikana jijini Arusha, eneo la Salentini, mkabala na Mailstone Bar ya zamani .

Habari Picha 18471

Ikiwa unatafuta sehemu yenye huduma za kiwango cha juu na teknolojia ya kisasa ya kuosha magari, basi GoldTouch ndiyo chaguo sahihi kwako.

Kwa Nini Golden Touch Car Wash ni ya Kipekee? MKURUGENZIΒ  TONNY URASA ANAELEZAΒ 

GoldenTouch sio car wash ya kawaida β€” ni sehemu inayobadilisha kabisa muonekano wa gari lako na kulifanya lionekane jipya kila wakati.

Habari Picha 18469

Huduma za Kisasa na Teknolojia ya Hali ya Juu
Mashine za kisasa za kuosha magari kwa umakini mkubwa.

Mashine maalum za kupuliza upepo kuondoa vumbi ndani ya gari na kwenye engine
Usafi wa ndani na nje unaofanywa kwa ustadi na umakini mkubwa.

Habari Picha 18473

Huduma ya polishing ya taa za gari kwa mashine za kisasa zinazorejesha mwonekano mpya na wa kuvutia.

Habari Picha 18490

Taa za Gari Zako Zinaonekana Kuchoka?
GoldTouch wana teknolojia maalum ya kusafisha na kupolish taa za gari, hivyo kufanya taa zako: Zing’ae kama mpya
Zionekane safi na za kisasa
Ziboreshe mwonekano wa gari lote.

Habari Picha 18472

Chagua Ubora, Chagua Golden Touch.

Tunajali usafi, ubora na kuridhika kwa wateja wetu. Kila gari linalofika GoldTouch hupata huduma ya kipekee inayolifanya lionekane tofauti kabisa.

Habari Picha 18476
Habari Picha 18474

Golden Touch Car Wash Arusha
β€œTunagusa Usafi kwa Kiwango cha Dhahabu.”
πŸ“ Salentini – Arusha
(Mkabala na Mailstone Bar ya zamani

Habari Picha 18478
Habari Picha 18479
Habari Picha 18481
Habari Picha 18482
Habari Picha 18483
Habari Picha 18484
Habari Picha 18485
Habari Picha 18486
Habari Picha 18487
Habari Picha 18488
Habari Picha 18487
Habari Picha 18489
Habari Picha 18491

Mwisho

Share This Article
Leave a Comment