Usafi wa Kisasa, Muonekano wa Kipekee!
Karibu kwenye Golden Touch Car Wash Arusha, car wash ya kisasa inayopatikana jijini Arusha, eneo la Salentini, mkabala na Mailstone Bar ya zamani .

Ikiwa unatafuta sehemu yenye huduma za kiwango cha juu na teknolojia ya kisasa ya kuosha magari, basi GoldTouch ndiyo chaguo sahihi kwako.
Kwa Nini Golden Touch Car Wash ni ya Kipekee? MKURUGENZIΒ TONNY URASA ANAELEZAΒ
GoldenTouch sio car wash ya kawaida β ni sehemu inayobadilisha kabisa muonekano wa gari lako na kulifanya lionekane jipya kila wakati.

Huduma za Kisasa na Teknolojia ya Hali ya Juu
Mashine za kisasa za kuosha magari kwa umakini mkubwa.
Mashine maalum za kupuliza upepo kuondoa vumbi ndani ya gari na kwenye engine
Usafi wa ndani na nje unaofanywa kwa ustadi na umakini mkubwa.

Huduma ya polishing ya taa za gari kwa mashine za kisasa zinazorejesha mwonekano mpya na wa kuvutia.

Taa za Gari Zako Zinaonekana Kuchoka?
GoldTouch wana teknolojia maalum ya kusafisha na kupolish taa za gari, hivyo kufanya taa zako: Zing’ae kama mpya
Zionekane safi na za kisasa
Ziboreshe mwonekano wa gari lote.

Chagua Ubora, Chagua Golden Touch.
Tunajali usafi, ubora na kuridhika kwa wateja wetu. Kila gari linalofika GoldTouch hupata huduma ya kipekee inayolifanya lionekane tofauti kabisa.


Golden Touch Car Wash Arusha
βTunagusa Usafi kwa Kiwango cha Dhahabu.β
π Salentini β Arusha
(Mkabala na Mailstone Bar ya zamani













Mwisho

