Na Mwandidhi wa A24tv. Hai,
Wenyeviti wa Vijiji viwili Munge Wilayani Siha pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mungushi Wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro,wameomba Serekali kuwajengea kivuko kinacho unganisha vijiji hivyo Mto Sanya ,ili wananchi wapite kwa usalama, kwa sasa wanatumia gogo kama kivuko
Ombi hilo limetoa leo April 27,wakati wa zoezi la uokoaji , Mtu mmoja mwanaume ambaye hajatambuliwa aliyeangukia katika mto huo na kupoteza maisha

Wakizungumza na waandishi wa habari katika eneo hilo la tukio ,wamesema ili kunusuri maisha ya Wananchi ni vizuri Serikali ikaona umuhimu wa kuwajengea kivuko hicho
“Ni kweli upo umuhimu wa ujenzi wa kivuko hicho ,Mbunge wa Siha God Mollel ,Mbunge Hai Saashisha Mafuwe pamoja na madiwani wafike wajionee watu pamoja na wanafunzi wanaenda shule wanavovuka mto kwa kukanya gogo ,jambo ambalo ni la hatari “wamesema Wenyeviti hao
Lameck Simbo mwenyekiti wa Kijiji cha Mungushi,amesema leo umepatikana mwili wa mwanaume ,ambaye bado hajatambuliwa katika mto huo eneo la Kitongoji cha Masinonda
Amesema huo mwili umepatikana mtoni ,na inaelekea alipata changamoto wakati anavuka mto,pake hakuna ,kuna gogo lililetwa na maji
Inawezekana kabisa wakati anavuka pale basi akaanguka mtoni na kupoteza maisha,tumesikitika sana,Wito ni kuomba Serikali iwasaidie kujenga kivuko hicho,ili kuondokana na matumizi ya kivuko cha gogo ambacho ni hatarishi
Kwa upande wake ,Izack Mollel,Mwenyekiti wa Kijji cha Munge Wilayani Siha,ameeleza umuhimu wa kivuko hicho mbali na Wanafunzi kupita hapo pia kuna maswala ya kiuchumi ,watu wanamashamba wenye mazao mbali mbali ikiwamo mahindi,maharage na aluzeti,kusafirisha inabidi kutumia mzunguko mrefu na gharama kuobgezeka
Gaddafi Masudi kaimu Kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Kilimanjaro,aneomba Wananchi kuchukua tahadhari hasa kwenye kipindi hiki mvua zinazoendekea kunyesha za masika na kufutilia matangazo ya hali ya hewa, kwani itasaidia kufahamu nini cha kufanya na hatua gani ichukuliwe
Sambamba na hilo ameomba wananchi wa maeneo hayo kufika chumba cha kuifadhi maiti Wilaya ya Hai mkoan hapo kwende kutambua mwili huo marehemu ambao ulipolewa katika mto Sanya ambao umeanza kuharibika ,kama kuna mtu anepotelewa na ndugu yake afike
Mwisho Sanya unauunganisha Wilaya ya Hai na Siha
Uku wenyeviti wa maeneo hayo wakiomba kujengewa kivuko,kwani kwa sasa wanachutumia gogo kama kivuko.

Hai,Wenyeviti wa Vijiji viwili Munge Wilayani Siha pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mungushi Wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro,wameomba Serekali kuwajengea kivuko kinacho unganisha vijiji hivyo Mto Sanya ,ili wananchi wapite kwa usalama, kwa sasa wanatumia gogo kama kivuko

Mwisho